Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,482
- 32,939
Duh yaani huyu dogo Jude Bellingham naona anakuja fire sana.Trent In.
View attachment 1805102
Kazi kwake.
YNWA
Duh yaani huyu dogo Jude Bellingham naona anakuja fire sana.Trent In.
View attachment 1805102
Kabisa mkuu kuna wakati kubali kuchutama ili usiaibike.Natamani sana nimuone C10 tena akiwa na uzi ya LFC. Maana hata Klopp mwenyewe hatotumia nguvu nyingi kwenye namna ya kumtumia. Kingine upande C10 hata akitokea kwa Mane still ataweza kuoffer kitu. FGS wasilegeze akili wachukue mai hiyo.
2019/2020 late november mpaka early feb alijitahidi rotation sana hatukupata injuries wengi na fatigue haikua upande wetu.Klopp sio muumin wa rotation kabisa. Mpaka mtu aumie ndo wengine wapate chances
If i were klopp ningependekeza tumrudishe kijana Coutinho kwan kipi kisichosameheka? Hakuondoka kwa dhihaka ila kosa lake kulazimisha kuondoka na alituacha kipindi kigumu ila ukawa mlango wa mafanikio kwetu. Pesa yake tulimleta vvd mane ali salah wakatufurahisha.Ndugu Captain Justine kwa MF tena attacking ungeshauri tumpate nani.
Hatuna magoli ya mipira ya adhabu, hatuna magoli mengi nje ya 18.
Thiago, Henderson, Fabinho, Jones hawa sio wa magoli 10 na assist 10 kwa msimu.
YNWA
Yeah unakumbuka scenario akiwa chelsea alikataa kutuuzia Mata kwa sababu tulikia his big rivals.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii anaweza akalegeza kwa sababu ligi tofauti.Mtihani pale Roma yupo Mzee wa the Special One na yule ana jambo na sisi.
Labda Pellegrini mwenyewe aamue kuodoka ila dogo ni kifaa haswa.
YNWA
Of course kwa mimi Salah tubaki nae. Timu ikipata MF timamu he will score 30+ epl goals kukosekana mf wa kuwafikishia mipira kwenye final third ndio inatuchelewesha bila kujali mapungufu yake. Swap ya mbappe haitatokea ishu ni mshahara kop sio transfer fees hata £400k per week FSG hawatoi kama kumuongezea Gini was a debate [emoji23] vipi kwa mgeni??Salah pamoja na mapungufu yake kama mchezaji bado tunamhitaji unless uniambie tufanye swap kumpata Mbappe wao wampate Salah au Mane.
Bobby false 9 has taken its toll uchovu kama wote playing link play sio kazi rahisi for the last 5 seasons. Ni muda muafaka sasa dogo aidha acheze namba 10 yake ama awe squad player huku FSG wakileta kifaa kipya au kama vipi Cholo alete hio ofa yake tuone.
YNWA
Makoha wa vioja mahakamani na mwenzie kokoto walihukumiwa kunyongwa au kulipa elfu mia mbili. Sasa hakimu akiwasomea hukumu hiyo makoha akasema atalipa fine anazo 200 hakusikia elfu mia mbili[emoji23][emoji23] baada ya kusikia elfu mia mbili akasema "si afasali mutunyonge"NEWS: Everton are interested in appointing Steven Gerrard as their new manager after Carlo Ancelotti's move to Real Madrid. [the athletic]
Manchester United wenyewe wapo mazima kwa Hakan Calhanoglu maana ni busu la malaika dogo anapatikana bure kabisa.If i were klopp ningependekeza tumrudishe kijana Coutinho kwan kipi kisichosameheka? Hakuondoka kwa dhihaka ila kosa lake kulazimisha kuondoka na alituacha kipindi kigumu ila ukawa mlango wa mafanikio kwetu. Pesa yake tulimleta vvd mane ali salah wakatufurahisha.
Kuna Calhanoglou yule wa Milan atakua huru this summer nafikiri huyu wakumfikiria pia atatupa option nzuri sana.
Hawa kwa sera yetu tunawamudu mshahara (much concerned) hatuwashindwi.
Unajua man u wamekua bora usajili wa Fernandes tu umeibadili timu nzima, nafikiri C10 na/au Calhanoglou watatufaa sana hawa 10+ goals and 10+ assists hawakosi.
Of course kwa mimi Salah tubaki nae. Timu ikipata MF timamu he will score 30+ epl goals kukosekana mf wa kuwafikishia mipira kwenye final third ndio inatuchelewesha bila kujali mapungufu yake. Swap ya mbappe haitatokea ishu ni mshahara kop sio transfer fees hata £400k per week FSG hawatoi kama kumuongezea Gini was a debate [emoji23] vipi kwa mgeni??
False 9 ya bobby klopp has to change his mind about him ampeleke his natural position. Then tuingie sokoni tutafuta ST atleast mwenye 15+ goals 12+ assists tuchukue MF mmoja na wing back mmoja likes of Traore to adjust our squad.
Then tumuache klopp kazi.
Luis Alberto....... brenda alimwondoa huyu pamoja na Suso!Mkuu pale kwa attacking MF tumpate mmoja kati ya hawa.
Hakan Calhanoglu kutoka Ac Milan.
Jack Grealish kutoka Midlands
Nicolo Barella kutoka Inter.
Rodrigo De Paul kutoka Udinese.
Pellegrini kutoka Roma
Houssem Aouar kutoka Lyon.
Yaani hapo tukimpata mmoja wapo tutakua vzuriiiiii mno.
Tukikosa hapo naona angalau tuangalie hawa
Dani Olmo kutoka RB Leipzig.
Luiz Alberto kutoka Lazio.
Coutinho kutoka Barcelona
Nabir Fekir kutoka Betis
Ramsey [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kutoka Old Lady
Neves kutoka Wolverhampton
YNWA
If i were klopp ningependekeza tumrudishe kijana Coutinho kwan kipi kisichosameheka? Hakuondoka kwa dhihaka ila kosa lake kulazimisha kuondoka na alituacha kipindi kigumu ila ukawa mlango wa mafanikio kwetu. Pesa yake tulimleta vvd mane ali salah wakatufurahisha.
Kuna Calhanoglou yule wa Milan atakua huru this summer nafikiri huyu wakumfikiria pia atatupa option nzuri sana.
Hawa kwa sera yetu tunawamudu mshahara (much concerned) hatuwashindwi.
Unajua man u wamekua bora usajili wa Fernandes tu umeibadili timu nzima, nafikiri C10 na/au Calhanoglou watatufaa sana hawa 10+ goals and 10+ assists hawakosi.
Kwa Ban ulilopigwa JF utaendelea kuiona kwenye Magazeti tu mpaka akili ikukae sawa