Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 8,069
- 20,330
Wewe ndo mpiga ban wa jf siku hizi?
Nyie ndo mlioubeza usajili wa Chelsea under Lampard na kuona tumepuyanga sasa mmeangukia pua munaanza kujilaumu na kuilaumu bodi yenu wakati ndo ilimtuma Klopp kwenda kwenye media kuiponda Chelsea wakati wa usajili.
Lampard alipatia kwenye usajili ila aliboronga kwenye formation. Mimi naamini Liverpool Ina wachezaji wa kawaida tu ila klopp kajua jinsi ya kuwatumia ndani hii misimu minne. Sasa Tuchel atafanya Mara kumi zaid ya Klopp.
Acha ushamba ..maana msimu ujao ni mwendo wa kuwapelekea moto tu.
#kukuKAMAkuku.
#aminiKwamba.
#CFC
Mbona huko France alifukuzwa huyo,msimu ujao mtamkataa huyo.hiyo ni Epl.sio ligi za hovyo kila msimu timu moja tu.ndio maana mechi ya Mwisho mlichezea na hata rate yenu ya ushindi ilikuwa inashuka jinsi ligi ilivyokuwa inaenda walishawajulia.
Msimu unaokuja timu yenu watu watakuwa wameshawajulia kama alivyowafanya Aston villa.