Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naona ndio tumefikia mwisho hivyo hii Robo fainali

Ila kocha simuelewi sana anapolazimisha mchezaji achezage mechi zote na dakika 90 zote halafu cha ajabu kocha hataki kumpa huyu mchezaji mshahara wa pauni laki moja na nusu tu kwa wiki hapo ndio mtu mwenye akili timamu ataona huyu kocha akili zake zikoje
 
Kipindi kile. Klopp uoga ulimzidi. Kuwachezesha faby na Hendo mabeki ilikuwa ni Kosa kubwa Sana. Waamini hao hao madogo hizo ndio sehemu zao kiasili. Ona Sasa philips jinsi alivyo jembe hata yule dogo William ni muda tu. Mpe nafasi utaona sukari yake. Sasa mido imetulia tuli. Mbele mwanangu dogo jota anatupa raha tu. Wamlete huyo Zidane tumfanye vibaya..... Maana haiwezekani fainali ifanyike home ground Instabul halafu tusiwepo
Haya maneno unaweza kuyameza?
 
hapa naona tiketi ya kutoka tayar tunayo mkononi......

ninahofia england inaweza isiwe na timu kwenye semis za cl....... ni hofu tu
Jana Real Madrid were the better team in every aspect and Liverpool played below average kwa kweli.

Nats na Kabak jana walikua darasani vs the most decorated club in UCL slot.

Klopp have a chance to turn this around.

Hopefully he will get his squad sorted siku ya marudiano.

I would rather have Milner uwajani kuliko kua na Keita.

YNWA
 
Sidhani kama tunapaswa kuendelea na Keita.So sad he is going without any remarkable good memory at Liverpool...We can no longer keep on waiting for him to click..Simply his signing didn't meet our expectations...

Mkuu kwani Keita ndiyo amecheza uwanjani mwenyewe? Kwnn mnawalaumu baadhi ya wachezaji pindi mnapodrop point?

Kubalini kushindwa ndiyo mpira ulivyo. Kitu msichokijua ni kwamba wachezaji au kila tinu inapoingia uwanjani wanakuwa na malengo ya kuondoka na point 3 mkononi yaani kushinda.

Kila timu inatumia mbinu kuhakikisha inaondoka na point zote. Ukizidiwa ndiyo hapo unapigwa za mkakati. Nafikiri mjipange anfield ili mpindue meza na si kuanza kuwalaumu wachezaji mmoja mmoja
 
Tumefungwa nakubali....LAKINI KAA MKUJUA HIZI NI DK 90...
BADO 90 NYINGINE,NA WAMEFANYA KOSA KUNIPA GOLI LA UGENINI....
TIME WILL TELL...ynwa
Uzuri R. Madrid na Liverpool ni kwamba zote zinacheza mchezo wa kufunguka na kupress zaidi so umakini wa wafungaji ndo unaoamua mchezo maana timu zote mipira inafika mbele so bado mechi ni ngumu. Ila Liver wasijiaminishe kuwa wanaweza fanya come back kama walivyowafanyia Barca.
 
Ukiona Mtu kama mimi KING_NGWABA nimeacha kumlaumu Kocha na Mchezaji mmoja mmoja kama ilivyokuwa zamani ambayo ndiyo sifa yangu kuu hapa basi ujue kuna Kitu cha kujiuliza.

Simple and Clear! Timu lote ni bovu hakuna aliye na Afadhali, hivyo ukimlaumu Mchezaji mmoja eg. Keita, Salah, Firmino, Mane, Gini, TAA, Alison, Hendo, Thiago etc. Ni kumuonea tu.
 
Ukiona Mtu kama mimi KING_NGWABA nimeacha kumlaumu Kocha na Mchezaji mmoja mmoja kama ilivyokuwa zamani ambayo ndiyo sifa yangu kuu hapa basi ujue kuna Kitu cha kujiuliza.

Simple and Clear! Timu lote ni bovu hakuna aliye na Afadhali, hivyo ukimlaumu Mchezaji mmoja eg. Keita, Salah, Firmino, Mane, Gini, TAA, Alison, Hendo, Thiago etc. Ni kumuonea tu.
Yes, team haitupi matumaini aise. Halafu coach hajiamini. A winning team anaibadili mno. Angechezesha same same lineup iliyocheza against Arsenal abadili system. Sio daily 4-3-3. Firmino na Jota Wote ndan. Thiago Fab na Milner ndan. Game kama hizo zinahitaj mature players.

Sent from my Infinix HOT 4 using JamiiForums mobile app
 
Kinachotesa Watu wengi mpaka wengine wana miezi kadhaa wameukimbia huu uzi au wengine wanakuja kwa kuvizia ni kuto kuukubali ukweli na kuishi kwa kukariri.

  • Kuna Watu bado wanaamini Tuna bonge la Timu.
  • Kuna Watu bado wanaamini Viwango vya Wachezaji wetu vipo juu kwa mfano wanaweza kukwambia Mane ni Mshambuliaji bora kuliko Mshambuliaji yoyote Duniani wakati ukweli ni kwamba kwa muda huu huyu ni Molinga anaelipwa Vizuri tu.
Sijui kwa miezi mitatu iliyopita kama kafunga hata magoli mawili tu. Mtu atakuja kukwambia anahangaika! Alaa! Ukihangaika bila ya On Target hata moja ndiyo mwisho wa mchezo Refa atakugaia goli na points 3?
Si bora Jota na Salah wasiohangaika lakini wanafunga!!

Hii Timu inahitaji mabadiliko makubwa sana kutokana na uzembe uliofanywa misimu miwili iliyopita, tulizungumzia usajili yukaletewa Ki-Jana tukaambiwa Edwards ni Genius anatengeneza future. Tukaambiwa Don't Disturb our Front 3, Don't Disturb our Midfielders.... Na ujinga mwingi hatimae sasa hata Simba kina Chama wanatamani wacheze na Liverpool na wana uhakika watapata matokeo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom