Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,223
- 16,900
poleni sana MadridLineup ya ushindi kabisa
Real Madrid poleni sana maana
poleni sana MadridLineup ya ushindi kabisa
Real Madrid poleni sana maana
Naangalia mechi kwa maumivu makali Sana najiuliza je Ramos na varane wangekuepo ingekuaje KLOPP keita amuuze tu na aangale hawa akina Robertson na Trent wameshazoekeka Sasa
Kikosi chetu kina hitaji reform ya hali ya juu.
mngefanya nini sasa?? hawapo hamna shot on target hata moja sasa wangekuwepo si wangewabaka.Naangalia mechi kwa maumivu makali Sana najiuliza je Ramos na varane wangekuepo ingekuaje KLOPP keita amuuze tu na aangale hawa akina Robertson na Trent wameshazoekeka Sasa
Washanyooshwa ngap hawa kukuLooserfool mnaghadhabishwa huko
Mwakani Europa inawahusu,nyie mtakua wazee wa futuhi
...sisi halisi tumesema.....Keep in mind!
Don't disturb our Front 3
Don't Disturb our Midfielders
Klopp knows best




Kengemaji nyie mmenichania mkeka mpigwe tu shenz kabisaaa
Wao 2 - 0 Sisi
Alli Bakari siku hizi ni mzigo kama Karius tu.huyu alisson a.k.a Amish Poor simuelewi kbsa leo..
This season is null and void result wise.
YNWA
Nyie ndo mulipanga kulipiza kisasi hahaha
Kwa upangaji huu wa kikosi ndugu tusahau.Naona yale malengo yenu ya kubeba champion inafifia kabisa