Nyie ni takataka tu ...
Madrid tumempiga nje ndani 4-2..
Nyie mpaka sasa mshakula goli 3 ...
Sasa hii ni timu au takataka...
Mwisho wenu ni jumatano...Huo ushindi ulikusaidia nini zaidi ya kuabishwa na Olympic Lyon
Keita tumepigwa pale ..Kuanzishwa kwa Keita baada ya kutocheza kwa muda mrefu ilikuwa ni gamble kwa Klopp!!
I am afraid that Keita ni failed project
Hahahaha mbona unatufokea sasa ..ebboo ..mim nimekuuliza wewe unaona fainal Chelsea atakutana na nani? Mim nakupa options vs Bayern au vs PSG? Em angalia wa kumkutanisha na Chelsea ni nani kati ya hao wawili.Fainali gani labda? Hebu tutolee bangi zako aliyekwambia upende Timu bovu nani?
Mwisho wenu ni jumatano...
Then ,uwe unatungungulia sisi wanaume kwenye tv mpaka kuchukua uefa ..
Hao psg watapinduliwa meza tu ..
Sisi tunamtaka huyo buyern ..
mkuu sisi mwaka huu tumekubali mapema kabisa hatuna chetu,,,,,Hawa wanajitekenya na cheka wenyewe. Ngoja siku hiyo wafungwe utaona watakavyomvaa Keitaunazani keita anacheza yeye mwenyewe uwanjani
Saido if am not mistaken he is the most fouled Player in our squad.I am willing sell Sadio Mane by any means
His rythm is out now(And maybe forever).
Sikumbuki ni lini mara ya mwisho Sadio Mane has take on a defender.
Mnatutisha na pichaCome On You Reds. You'll Never Walk Alone.View attachment 1748211



..mnafikili hio picha inacheza 


Unaruhusiwa kuandika unachotaka mkuu.Mnatutisha na picha..mnafikili hio picha inacheza
Kama hujui mpira unaweza kudhani huyo ni bonge la mchezaji kumbe haingii hata kwa morrison ...
Hamna watu waoga Kama hao....Ivi zile Kenge za Halisi zimezama vichaka vya wapi!![]()