Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sidhani kama tunapaswa kuendelea na Keita.So sad he is going without any remarkable good memory at Liverpool...We can no longer keep on waiting for him to click..Simply his signing didn't meet our expectations...
Hii jezi namba 8 naona ni nzito sana kwa jamaa yetu kiasi kila dogo akipona matarajio ni makubwa mno lakini muda mwingi amekua akirudi pale pale tulipomzoea kama super flop.

YNWA
 
hapa naona tiketi ya kutoka tayar tunayo mkononi......

ninahofia england inaweza isiwe na timu kwenye semis za cl....... ni hofu tu
 
hapa naona tiketi ya kutoka tayar tunayo mkononi......

ninahofia england inaweza isiwe na timu kwenye semis za cl....... ni hofu tu
Kwani England inawakilishwa na Liverpool tu
Mancity kashinda 2-1 na marudiano wataendelea kushinda
Chelsea kesho tunamfumua huyo Porto ndani nje
UCL semifinals itakuwa haina Liverpool tu! PERIOD
 
hapa naona tiketi ya kutoka tayar tunayo mkononi......

ninahofia england inaweza isiwe na timu kwenye semis za cl....... ni hofu tu
Hii timu lako ndio ulitaka lifike semi final

Mnabahat nyie kuku tungekutana huko mbele ,mngelia kilio na kusaga meno
 
Hii jezi namba 8 naona ni nzito sana kwa jamaa yetu kiasi kila dogo akipona matarajio ni makubwa mno lakini muda mwingi amekua akirudi pale pale tulipomzoea kama super flop.

YNWA
Wasilazimishe kumpa mtu hiyo jezi.Kama hamna anayestahili kuivaa ibaki tu,atavaa hata kocha atakayemfuata Klopp....
 
Liverpool HALISI is just a first leg,watakuja Anfield na tutapata matokeo!
Kabak na Philips bado wanajifunza lkn nina imani kubwa na Anfield
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom