Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ollachuga Oc fahamu Jota sio wa kumfananisha na huyo Timo wenu.

Pale mmepigwa ela.

Naona akiwa Torres au Andriy Shevchenko.

Jota mashauti golini ana average ya 3.3 shot per game huku Werner akiwa na average ya 2.4 shot.

Kwa bei mliotoa pale kwa Timo na mshahara na anachowapa sasa ni dhahiri yupo kiwango cha chini sana kwa sasa.

Hayatuhusu mtajua wenyewe mtakavyoshuka hio nafasi ya nne mtupishe.

YNWA
 
Sijui hata tulicheza nini, yaani hata Fulham alicheza vizuri mara mia ya Arsenal
Jana ndugu ki ukweli nilishanga kuona Liverpool wanacheza vile yaani hatukuwapa muda wa kutulia mpange mashambulizi ilikua press baada ya press.

Msimu uliopita tulikua tunacheza kama jana. Yaani tukiwa bila mpira tunausaka kwa pamoja.

Arsenal bila Saka naona kuna upungufu mahala.

YNWA
 
Sam Johnstone (Westbrom GoalKeeper)has more PL assists than Thiago Alcantara

Kipindi kile. Klopp uoga ulimzidi. Kuwachezesha faby na Hendo mabeki ilikuwa ni Kosa kubwa Sana. Waamini hao hao madogo hizo ndio sehemu zao kiasili. Ona Sasa philips jinsi alivyo jembe hata yule dogo William ni muda tu. Mpe nafasi utaona sukari yake. Sasa mido imetulia tuli. Mbele mwanangu dogo jota anatupa raha tu. Wamlete huyo Zidane tumfanye vibaya..... Maana haiwezekani fainali ifanyike home ground Instabul halafu tusiwepo
 
Kitu pekee ninachoweza kusema ni kwamba akipona VVD, GOMEZ na MATIP basi KABAK na PHILLIPS watasugua Benchi na PHILLIPS huenda akauzwa au akatolewa kwa Mkopo.

Wakati maamuzi sahihi ni kwamba VVD acheze na KABAK huku GOMEZ na PHILLIPS wakibaki kama Backup, MATIP aruhusiwe aondoke ili kutoa room kwa PHILLIPS aandaliwe zaidi.

Rhys William atolewe kwa Mkopo Championship kwa msimu ujao, after hapo atolewe Mkopo Primier League au Bundes Liga kwa Timu ambayo atakuwa na uhakika wa kuche,a.
 
Well said

Sent from my CPH1969 using JamiiForums mobile app
 
Kitu pekee ninachoweza kusema ni kwamba akipona VVD, GOMEZ na MATIP basi KABAK na PHILLIPS watasugua Benchi na PHILLIPS huenda akauzwa au akatolewa kwa Mkopo.

Wakati maamuzi sahihi ni kwamba VVD acheze na KABAK huku GOMEZ na PHILLIPS wakibaki kama Backup, MATIP aruhusiwe aondoke ili kutoa room kwa PHILLIPS aandaliwe zaidi.

Rhys William atolewe kwa Mkopo Championship kwa msimu ujao, after hapo atolewe Mkopo Primier League au Bundes Liga kwa Timu ambayo atakuwa na uhakika wa kuche,a.
Kabak yuko kwa mkopo. June anarudi Germany. Tunabaki na yule Davis tuliyemnunua championship. Ofcoz Williams ataenda mkopo akapate uzoefu.
Watabaki. Matip gomez Philips na Davis. Au kama aakitaka kununua mwingine
 
Nyie Liverpool hamko serious kabisa. Angalieni tusije kutana UEFA maana mtashaaa.. ni kipigo kwa kwenda mbele
#CFC
 
Kabak yuko kwa mkopo. June anarudi Germany. Tunabaki na yule Davis tuliyemnunua championship. Ofcoz Williams ataenda mkopo akapate uzoefu.
Watabaki. Matip gomez Philips na Davis. Au kama aakitaka kununua mwingine

Tunaweza mnunua pia
 
Hivi kuna article yeyote kuhusiana na injury za mwaka huu hasa Kwa Liverpool?
Kuna alieandika deep kutafuta sababu ya hizi injury?..labda aina ya mazoezi?
Kuna mwenye link ya article kama zipo?
Nazungumzia za waandishi wa mpira wa kimataifa
 
Mlizidiwa kila mbinu wala usishangae saana
kocha wetu bado mchanga na uzuri amekiri lawama zimuendee yeye,Liverpool kipindi cha Wenger mlikuwa hamtupi tabu kabisa ila toka kaja klopp mmekuwa mnatufunga sana.
 
Kabak yuko kwa mkopo. June anarudi Germany. Tunabaki na yule Davis tuliyemnunua championship. Ofcoz Williams ataenda mkopo akapate uzoefu.
Watabaki. Matip gomez Philips na Davis. Au kama aakitaka kununua mwingine

Kwenye Loan ya Kabak nadhani kuna Option ya kumnunua mazima. But kuhusu Davies ile ni Panic signing baada ya Liverpool fans turned against Klopp na FSG kwa kuchelewa kutake early action dhidi ya injuries za GOMEZ na VVD mpaka tukaingia kwenye Crisis, Hivyo Klopp na Edwards out of Panicking wakajikuta wanaangukia kwa Davies but sidhani kama jamaa anafaa hata kucheza Gwambina.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom