City hawaendi kushinda Ujerumaniposibility ya city kuvuka ni ndogo mkuu...... kwa wanaojua cl hili lipo wazi....
Sent from my Infinix HOT 4 using JamiiForums mobile app
City hawaendi kushinda Ujerumaniposibility ya city kuvuka ni ndogo mkuu...... kwa wanaojua cl hili lipo wazi....
Wewe utashinda hapo anfield ?
Hahaha kabisa ila Mkuu kwangu Keita hua nikimuona tu naona tumepigwaaaa..Ukiona Mtu kama mimi KING_NGWABA nimeacha kumlaumu Kocha na Mchezaji mmoja mmoja kama ilivyokuwa zamani ambayo ndiyo sifa yangu kuu hapa basi ujue kuna Kitu cha kujiuliza.
Simple and Clear! Timu lote ni bovu hakuna aliye na Afadhali, hivyo ukimlaumu Mchezaji mmoja eg. Keita, Salah, Firmino, Mane, Gini, TAA, Alison, Hendo, Thiago etc. Ni kumuonea tu.
2020 2021 Liverpool season in summary.Kinachotesa Watu wengi mpaka wengine wana miezi kadhaa wameukimbia huu uzi au wengine wanakuja kwa kuvizia ni kuto kuukubali ukweli na kuishi kwa kukariri.
Sijui kwa miezi mitatu iliyopita kama kafunga hata magoli mawili tu. Mtu atakuja kukwambia anahangaika! Alaa! Ukihangaika bila ya On Target hata moja ndiyo mwisho wa mchezo Refa atakugaia goli na points 3?
- Kuna Watu bado wanaamini Tuna bonge la Timu.
- Kuna Watu bado wanaamini Viwango vya Wachezaji wetu vipo juu kwa mfano wanaweza kukwambia Mane ni Mshambuliaji bora kuliko Mshambuliaji yoyote Duniani wakati ukweli ni kwamba kwa muda huu huyu ni Molinga anaelipwa Vizuri tu.
Si bora Jota na Salah wasiohangaika lakini wanafunga!!
Hii Timu inahitaji mabadiliko makubwa sana kutokana na uzembe uliofanywa misimu miwili iliyopita, tulizungumzia usajili yukaletewa Ki-Jana tukaambiwa Edwards ni Genius anatengeneza future. Tukaambiwa Don't Disturb our Front 3, Don't Disturb our Midfielders.... Na ujinga mwingi hatimae sasa hata Simba kina Chama wanatamani wacheze na Liverpool na wana uhakika watapata matokeo.
mna goli la ugenini sawa, swali Ni je mtaweza kutoa clean sheet hiyo 2nd leg?Enewey! Hii Timu itarudi kuwa sawa na Real wawe makini na 2nd Leg tuna goli la ugenini kule.
Same tu Man City kuna uwezekano wa kulijutia goli walilofungwa na Dortmund jana.
Wewe utashinda hapo anfield ?
Au madrid wanakuja kukusukumia ukuni mwingine kwa nyuma ...
Sisi man city saizi yetu ni buyern tu ,hao dortmund tunaenda kuwapelekea moto huko huko germany ...
Najua ndio mwisho wenu kuku nyie
Fa out
Carabao out
Epl out
Uefa out
Out of top four ..
Lazima uchanganyikiwe kuku wewe ...


hizi zarau sasa. Kwamba kuku atasukumiziwa ukuni tenaFaida ya goli la ugenini ni ndogo sana, Itabidi Liverpool ishinde 2-0 au difference ya goli tatu ikiwa Real Madrid atafunga goli yaani mshinde 4-1, 5-2 na kuendelea. Kwa timu hii ya akina Kabak na Philips nyuma sioni wa kumzuia Bensema, Junior wasifunge magoli kwenye second legEnewey! Hii Timu itarudi kuwa sawa na Real wawe makini na 2nd Leg tuna goli la ugenini kule.
Same tu Man City kuna uwezekano wa kulijutia goli walilofungwa na Dortmund jana.
Faida ya goli la ugenini ni ndogo sana, Itabidi Liverpool ishinde 2-0 au difference ya goli tatu ikiwa Real Madrid atafunga goli yaani mshinde 4-1, 5-2 na kuendelea. Kwa timu hii ya akina Kabak na Philips nyuma sioni wa kumzuia Bensema, Junior wasifunge magoli kwenye second leg
Faida ya goli la ugenini ni ndogo sana, Itabidi Liverpool ishinde 2-0 au difference ya goli tatu ikiwa Real Madrid atafunga goli yaani mshinde 4-1, 5-2 na kuendelea. Kwa timu hii ya akina Kabak na Philips nyuma sioni wa kumzuia Bensema, Junior wasifunge magoli kwenye second leg
mna goli la ugenini sawa, swali Ni je mtaweza kutoa clean sheet hiyo 2nd leg?
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kwahiyo fainali atakuwa nani vs Chelsea?Na Bayern naye ndiyo kashaangukia pua alidhani kila siku ni Ijumaa
Fainali gani labda? Hebu tutolee bangi zako aliyekwambia upende Timu bovu nani?
