Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naona Washabiki wa Liverpool kwenye Mitandao ya Kijamii wanazidi kujitafutia Visingizio ili kuhalalisha kinachoendelea.

Ivi ni kweli kumfunga Westbromwich, Burnley na Southampton ndani ya Anfield tunahitaji VVD na GOMEZ?
Si tumepigwa 7 tukiwa na Wachezaji hao? Tuache Visingizio ndugu tukubali kuwa Timu yetu ni mbovu kwasasa tumekosa mbinu ya ushindi.
Tusione haya kuhoji mbinu na ufundishaji wa Klopp bila ya kujali kwamba kuna Watu watakuattack, Najua ameshatufanyia Makubwa lakini Je, tujiulize ukocha ni Legacy ya past au ni mafanikio ya wakati uliopo?

Hivyo mimi sitaishi kwa kukariri Historia kwamba Klopp alitupa UCL, USC, CWC na EPL, hayo yote sitojali bali ninachoangalia ni kuwa sasahivi 2021 Klopp anafanya nini? Hivyo lazima Kocha abadilishe mbinu za ufundishaji ili tuone mabadiliko ya kumalizia huu msimu kabla ya usajili wa next season.
 
Naona Washabiki wa Liverpool kwenye Mitandao ya Kijamii wanazidi kujitafutia Visingizio ili kuhalalisha kinachoendelea.

Ivi ni kweli kumfunga Westbromwich, Burnley na Southampton ndani ya Anfield tunahitaji VVD na GOMEZ?
Si tumepigwa 7 tukiwa na Wachezaji hao? Tuache Visingizio ndugu tukubali kuwa Timu yetu ni mbovu kwasasa tumekosa mbinu ya ushindi.
Tusione haya kuhoji mbinu na ufundishaji wa Klopp bila ya kujali kwamba kuna Watu watakuattack, Najua ameshatufanyia Makubwa lakini Je, tujiulize ukocha ni Legacy ya pasta au ni mafanikio ya wakati uliopo?

Hivyo mimi sitaishi kwa kukariri Historia kwamba Klopp alitupa UCL, USC, CWC na EPL, hayo yote sitojali bali ninachoangalia ni kuwa sasahivi 2021 Klopp anafanya nini? Hivyo lazima Kocha abadilishe mbinu za ufundishaji ili tuone mabadiliko ya kumalizia huu msimu kabla ya usajili wa next season.
baada ya kukutana na hii post kule reddit nimeamua rasmi kuunga mkono hoja yako.
mbona leicester city wanafanya vizuri haliyakuwa kikosi chao kimejaza wagonjwa kwa nyakati tofauti.
1613983074071.png
 
baada ya kukutana na hii post kule reddit nimeamua rasmi kuunga mkono hoja yako.
mbona leicester city wanafanya vizuri haliyakuwa kikosi chao kimejaza wagonjwa kwa nyakati tofauti.
View attachment 1708956
Yani sikuhizi tumekuwa tunatia aibu kwa Visingizio,
Imagine ndani ya anfield tunapigwa 1 - 0, 2 - 0, halafu tunasingizia tumefungwa kwasababu hatukuwa na VVD, serious?

Kwanini tusishinde 4 - 3, 5 - 4, 3 - 2, au draw ya 3 - 3, 2 - 2? Hapa ndiyo kukosekana kwa VVD kutamake sense kwamba Timu ni Nzuri inafunga lakini Beki inashindwa kuzuia.

Lakini Timu inacheza mechi 5 bila ya goli hata la VAR then tuje tusingizie VVD?

Kwahili mimi simlaumu Firmino wala Kabak bali michezaji yote 11 na walioko benchi msimu huu ni Mibovu.

Na narudia tena bila ya Uoga wala kumuonea haya yoyote kuwa Klopp msimu huu kaishiwa mbinu kawa wa kawaida tu kama Zahera. Ukiangalia body language yake uwanjani unamuona hasa kuwa Jamaa hajui afanye nini zaidi ya kulumbana na Waamuzi.

Natumai Next season atakuja na mbinu nyengine za ushindi.
 
Tukikubali weakness zetu, titaweza kufanya Maamuzi na kufanya marekebisho ya kikosi chetu.

But iwapo tutaendelea Mentality za kuwa Salah is irreplaceable, No one like Origi, Milner is a Monster, Bobby is best no 10 in the world football, Timo Werner is not Klopp's type of player, Hakuna mchezaji wa kuweza kupata namba kwenye kikosi cha Liverpool kilichopo, Tupandishe U23 wachukue nafasi!!!! Tujiandae kutafuta visingizio next season.

Hii Post niliiandika tarehe 3 July 2020 msimu uliopita kuhusu kusajili ambapo nilisema msimu huu tujiandae kutafuta visingizio! Hatimae tumepata visingizio vingi tu! Mara VVD, mara wachezaji wamechoka, mara korona, na blah blah nyangine
 
Wakuu kwa kweli nichukue nafasi hii kuwapongeza kwa moyo mnaouonyesha hadi sasa juu ya timu yenu. Binafsi sikutegemea kama hili jukwaa litaendelea kuwepo tena baada ya matokeo mabaya kama haya.
Hakika mnaipenda livapuli.
 
Nilichogundua ni kwamba wapenzi wengi wa traditional top six za epl ukiacha City wanapenda timu zao zisajili average players ili wachezaji wao vipenzi waendelee kupata uhakika wa namba. Hapo hapo utakuta wanataka kushindana na City ambao hata team B inaweza kushindania ubingwa na ikatwaa.

Visingizio kikubwa ni kwamba eti top players hawawezi kukubali kuja kusugua benchi na kwamba eti hawawezi kubali kulipwa mishahara midogo! Maajabu haya!

Ukiangalia namna mastaa wa City wanavyosugulishwaga benchi na namna wanavyolipwa mishahara midogo kuliko hata amateurs wanaosugua benchi kwenye big teams zingine unabaki kushangaa.

Nadhani pia wamiliki wa hizi timu wanajua fika mitazamo hii ya mashabiki wao hivyo huchukulia hiyo kama fursa ya kusajili wachezaji wa viwango vya kawaida. Acha City waendelee kutawala ligi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom