Kuna siku Don Clericuzio alihoji kuhusu usajili wa hawa KABAK na DEVIES kuwa Je, ndiyo wachezaji wa kutupa Makombe EPL na CL?
Dah! Wanazi walimuona anamkosoa Klopp ambaye anajua zaidi kuliko Don.
Naamini wameshaanza kuelewa
Hivi vipigo sio kawaida mzeeWashabiki wa liver mnajikuta wachambuzi sana
HahaBaada ya Liverpool kusumbua kwa mda mfupi hatimae yaanza kurudi kwenye nafasi zake za kawaida
Aaa kumbe upo.Hahaha, acha mzee.
Niliambiwa habari za kina Robertson, Gini, Robbo nk. Kwamba na wao walikuwa hivyo.
Hahahahahahahahah........umeanza kutafuta Excuse sasa kama ilivyokuwa kwa Adrián ,Origi ,Gini ,Henderson umehamia kwa Kabak na Davies ......... Alcantara yeye ameongeza nini kwenye timu mpaka sasa mnawapotezea kama hamuwaoni vile kwa sababu ni Favourite sio.
Angalia hili takataka eti limenunaTakataka mamako!





Mkuu bado point chache tu tumtoe city pale juu ..hilo liko wazi kabisa mkuu ..hiyo kazi tuachieni sisi kwa kuwa nyie mumeshindwa, basi hawa city boys hawafiki popote ..kufikia april kila kitu kitakuwa katika mstari unaotakiwa ..maneno yangu bado yapo pale pale .."sisi ndio mabingwa wa EPL msimu huu wa 20/21" tutawashangaza kweli kweli.Mkuu Ollachuga Oc wakati msimu unaanza ulikua hakauki humu na sifa wewe ndio bingwa mtarajiwa 2020-2021 lakini baadae hayo maneno ukanywea wala hukusema tena... Hayo ndio maisha ya soka unakua na wakati mwema kipindi fulani na wakati mbaya nyakati zingine. Tupo vimbaya kwa sasa wala hatuna cha kusingizia.. Pamoja na yote wote ni BIg 4 contenders hivyo tuchekani sasa ila mpaka mwisho wa msimu tutaona nani atacheka mwisho.
He who laughs last is the winner.
Surez ana jambo na Les Blue na kwa vile ana historia na nyinyi itakua powa sana awazime.
YNWA



Sasa bila kificho nadiriki kusema wazi kabisa usajili wa THIAGO AĹCANTARA ni usajili ambao hauna faida kwa Liverpool.
Tumepigwa za uso Mchana kweupe.
Kufa basi au weka mguu mfukoni kama umemindAmepewa idhini na nini kuniita mimi takataka? Akome kabisa mshenzi mkubwa huyu! Nilikosea wapi katika kutoa maoni yangu? Tunakubali rasmi sisi siyo tena among the EPL title contenders.




Vitu vidogo vidogo hawa watoto hawajui ushabiki unahitaji dhihaka za kutosha..Achana na huyo mtoto,alafu kama hana uvumilivu aache kuingia humu hadi team ishinde.Vinginevyo kila mtu ataona ujinga wake.
Thiago tumepigwa boss.Sasa bila kificho nadiriki kusema wazi kabisa usajili wa THIAGO AĹCANTARA ni usajili ambao hauna faida kwa Liverpool.
Tumepigwa za uso Mchana kweupe.
Tena ilikua inasemwa hakuna mchezaji atakumbali kucheza second fiddle kwa Salah Bobby au Firmino na maneno mengi mengi.
FSG mpaka sasa hua ni ngumu kuelewa kama kweli wanaelewa uwekezaji wa kujenga kikosi cha ushindi endelevu. Hawa jaama mara ya mwisho kutoa mkopo wa kununua mchezaji hata sikumbuki ni lini. Wao wametoa mkopo ama kudhamini mikopo kwa ajili ya kuongeza ukubwa wa Anfield na mkopo pia kwa ajili ya New Training ground AxA. Huu wa kujenga Anfield nadhani wanaanza kulipwa Mwaka huu.
Ukitazama wanavyosajili hawa watoto utaona ni dhahiri hawa wanafuata mbinu za uwezekazaji wa Red Bull teams. Na taarifa wamefanikiwa kwa mfano kwa Solanke walimnunua bei chee wakaja uza bei kubwa, na pia Hoever vile vile design kama hio. Kwa sasa zipo tetesi wanatafuta timu nyingine Ulaya wanunue ili iwe kama feeder club ya Liverpool. Haha hii yote wanakimbia kutoa mamilioni kama vile wanavyofanya Chelsea na Manchester City. Ukitazama tangu 2015 mpaka sasa kwenye usajili Manchester City wametumia zaidi ya £800m kununua wachezaji. Tazama table hapo chini.
View attachment 1707922
Liverpool wamenunua wachezaji wa £470.9m na wameuza wachezaji wa £378.5m ina maana ela iliyotoka klabuni kwenye akiba ni £92.4m., sasa tazama kwa Manchester City £505.6m ilitoka klabuni maana mauzo yao ya wachezaji sio makubwa. Hii ni balaa kwani wao kununua mchezaji wanaemtaka sio lazima kuuza ndio kununua kama Liverpool wanavyofanya na hii inawapa consistency ya ku challenge top honours kwani kikosi kimesheheni super talent.
Ukitazama net spent per season ni £18.5m yaani hawa FSG wao ni kuvuna tu.
Imagine Origi ndio tegemeo letu kuturudisha BIG 4 jamani like serious. Ki ukweli wachezaji wazuri hujulikana pale timu ipo vimbaya lakini wao wana shine kuokoa jahazi tuliona sana hayo kwa Steve G, Messi, Ronado, Bruno nk.
Liverpool kwa sasa wachezaji wote wamepoteana hata zile instinct za pasi hazipo kabisa.
Tunabitaji Edward awe na Juni bizy kweli kweli kuturudisha kwenye ukali. Hii shinda ya ku unlock deep playing teams lazima watafute jawabu kama Thaigo ndio jawabu basi mfumo uwe flexible kwake ili tuone kazi yake.
Yajayo yanatisha.
YNWA
Mkuu upo siriazi kabisa unamtoa Manchester City pale alipo hivi ni kwenye play station ama hii ligi hii unayogombania kuingia Big 4.Mkuu bado point chache tu tumtoe city pale juu ..hilo liko wazi kabisa mkuu ..hiyo kazi tuachieni sisi kwa kuwa nyie mumeshindwa, basi hawa city boys hawafiki popote ..kufikia april kila kitu kitakuwa katika mstari unaotakiwa ..maneno yangu bado yapo pale pale .."sisi ndio mabingwa wa EPL msimu huu wa 20/21" tutawashangaza kweli kweli.
#CFC
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hahaha, acha mzee.
Niliambiwa habari za kina Robertson, Gini, Robbo nk. Kwamba na wao walikuwa hivyo.