Mbabe wa London ni Arsenal, mpaka hapo tayari unaonesha inferiority Complex



hivo vitoto unaviteteaga lakini mwishoni vinakuja kukuaibisha. Atleast kuanzia 2010 kurudi chini kidogo walikua serious sasa ivi naona wanalazimisha tu mpira.Ahahahah tufanyeje sasa acha tuchakarike na Simba kwanzaTumeshakimbia humu kitambo nikuchungulia tu na kusepa tuko bize na Simba sc yetu.
hivo vitoto unaviteteaga lakini mwishoni vinakuja kukuaibisha. Atleast kuanzia 2010 kurudi chini kidogo walikua serious sasa ivi naona wanalazimisha tu mpira.
Sasa hapo tunazidiana. Itategemea unazungumzia namba zipi!!Tukirudi kwenye Namba ndiyo tutaelewana
Hii timu ikifungwa huwezi ona viingereza vyao uchwaraaa
Wote wanaugulia maumivu huko ,!
Mpaka miaka 30 mingine ndio mtarudi kwenye huu uzi ..!
Dah clouds mpaka wanasikitisha,habari ya muda huu kwenye michezo inasema allison becker amefariki kwa kuogelea ziwani.
Asante ila nilishapata ukweli mkuu,lkn alieandika heading alifanya makosa makubwa.Ni Babayake Alison Mzee Becker ndiye aliyefariki kwa kuzama kwenye maji
Uefa hio etihadWewe mpaka kifo chako hutashuhudia city kubeba Uefa champion league
Vip bado beki za Man city hajawa tested?Watu tunajisahau sana
Hivi teams kama Man City au Man U au LC mwaka jana zilifanya nn la maana wkt Liva anachukua ubingwa mechi 8 mkononi?
Hii ni soka ina ups and downs
Livapool HALISI tuendelee kuwa nyuma ya Klopp,kila team ina mapito EPL hamna jipya ambalo Liva anapitia leo hazijapitia teams zingine



Panua paja, gogo laja.Nyie mlikalishwa kizembe kizembe na lile linyumbu..
Angalia tunavyoenda kulipa kipigo cha haja..
Sisi tutafuta aibu yenu..
#CFC![]()
Uefa hio etihad
Imagine pep akachukua
EPL
Uefa
Fa
Carabao
Mim naona utajinyonga tu ,nyie watu Wa iringa nawajua....
We definitely need an Arab sheikh of our own to take over at Anfield so we are able to perennially compete with the likes of ManCity going forward.Nyie endeleeni kutegea wachezaji wanaoshuka daraja aafu mtegmee consistency mwaka baada ya mwaka.
Ona mshindani wetu...
Over the past years, City have spent almost an eye-watering £2billion on the world's best players, with billionaire Sheikh Mansour playing a huge part after buying the club in 2008.
Since Guardiola joined as manager in 2016, City have forked out almost £700m - signing the likes of Riyad Mahrez (£60m), Bernardo Silva (£43m), Leroy Sane (£37m), Gabriel Jesus (£27m), Ikkay Gundogan (£21m) and Rodri (£65m) to boost their attacking fortunes.
But it is in defence where City have specifically spent big, with Ruben Dias the latest big-money signing arriving at the club in a £64m deal.
Dias, along with the likes of Kyle Walker (£54m), Aymeric Laporte (£57m), Joao Cancelo (£55m), Nathan Ake (£40m), Benjamin Mendy (£52m), John Stones (£47.5m) and Danilo (£27m), have been brought in recently.
And in goal, Guardiola has splashed out on Ederson for £35m as well as Claudio Bravo for £17m but the latter's spell in Manchester certainly didn't go to plan.
And despite the financial effects of the coronavirus pandemic, City's ease at spending big doesn't appear to be coming to an end anytime soon as they look to continue their dominance in England and finally end their European hoodoo.
City have a huge 10-point lead at the top of the Premier League with just 13 matches remaining while they will also be eyeing a Carabao Cup final triumph against Tottenham in April.
YNWA