Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Haya yanayotokea ni majibu ya posts zetu za misimu miwili iliyopita.

Wakati tunapiga kelele kuwa Hawa Wachezaji waliopo ni binadamu watachoka tu na kupoteza uwezo hivyo Timu lazima iwe inasajili mbadala wa hawa wachezaji kidogo kidogo.

Majibu tuliyokuwa tunapewa ni ya kukatisha tamaa kabisa kama vile:-

  • Don't disturb our front three ndiyo waliotupa makombe
  • Don't disturb our Midfielders ndiyo waliotupa makombe
  • Hakuna mchezaji anayeweza kupata namba mbele ya Front 3 wetu hivyo tusisajili.

Hatimae kilichotokea:-
  • Tuliletewa Vitoto kina Ki-Jana, Van Dem Berge, Kuna kamoja kutoka South America huko, Elliot, na takataka nyenhine eti ni Future Plan wakati uhalisia hawana Future ndani ya Liverpool.
  • Timu ikaokota wachezaji wasio na Timu kama vile Adrian na golikipa mwenzake sijawahi kumuona uwanjani.
  • Timu ikaendelea kuvizia na kunyakua wachezaji wasio na soko na bei ya kuokoteza kama vile Minamino, Tsimikas, Kabak, Devies ambao kiuhalisia hawa ni wa Midtable Teams na wala hawana future yoyote ndani ya Liverpool.

Sasahivi tunavuna tulichokipanda.

Mimi sikubaliani na kisingizio chochote zaidi ya kusema hii Timu ni Mbovu.
 
Ipo hivi tangu muda Sana.Kwamba bila 433 Klopp haingizi timu uwanjani...Bila kujali wapinzani washaisoma inavyofanya kazi..Ni bonge la conservative huyo Klopp.Halafu asibadili tena mfumo ye aendelee hivyohivyo kucheza na huo mfumo mmoja,too late to change...Kwa kuzingatia majeruhi tangu mwaka jana huyu Klopp alitakiwa kubadilisha shape ya timu..Lakini anakomaa na hiyo 433 utafikiri kwenye ukocha wake kasoma hiyo tu...Mpaka baadhi ya wachezaji wanaonekana ni flop kumbe kocha hana mifumo mbadala ya kuwa accommodate..Ngoja aendelee kuvunja rekodi za tangu 1920 huko..
Real Madrid msimu uliopita wakati wanakua bingwa Spain walikua na majeruhi kadhaa especially Hazard alisesajiliwa kuwa focal point wa timu ni majeruhi kwa nyakati tofauti na jambo ambali Zinedine ali masta vyema ni kubadili mfumo kutokana na timu pinzani na wakati mwingine alibadili wakati gemu inaedelea na hatimae wakawa mabingwa..

Kuna mechi 2 Klopp alimtumia Gini kama DM na Thiago akawa 8 na tuliona matunda yake ya ushindi. Pale pale ndio angeanzia kujenga upya kikosi kimfumo na pia kwa consider opponent set up.

Since 2016 mpaka December 2021 huu mfumo wa dynamic 433 umetuletea mafanikio makubwa sana sishangai sana Klopp kuamini kwani umempeleka kufika na kushinda kama ifuatavyo..
Fainiali Carabao
Fainiali Europa
Fainali Uefa
Kushinda Uefa
Kushinda Super Cup
Kushinda World Club Cup
Kushinda Premier League 🏆.

Kwangu naona MF imekua pedestrian hatoi sapoti kwa Defence na haitoa sapoti kwa Forwards. Kingine Mane Salah Firmino have dropped big time. Na defence is not the same without Gomez VVD.

Klopp found us bad than we are am positive he will reclaim the lost ground.

YNWA
 
Haya yanayotokea ni majibu ya posts zetu za misimu miwili iliyopita.

Wakati tunapiga kelele kuwa Hawa Wachezaji waliopo ni binadamu watachoka tu na kupoteza uwezo hivyo Timu lazima iwe inasajili mbadala wa hawa wachezaji kidogo kidogo.

Majibu tuliyokuwa tunapewa ni ya kukatisha tamaa kabisa kama vile:-

  • Don't disturb our front three ndiyo waliotupa makombe
  • Don't disturb our Midfielders ndiyo waliotupa makombe
  • Hakuna mchezaji anayeweza kupata namba mbele ya Front 3 wetu hivyo tusisajili.

Hatimae kilichotokea:-
  • Tuliletewa Vitoto kina Ki-Jana, Van Dem Berge, Kuna kamoja kutoka South America huko, Elliot, na takataka nyenhine eti ni Future Plan wakati uhalisia hawana Future ndani ya Liverpool.
  • Timu ikaokota wachezaji wasio na Timu kama vile Adrian na golikipa mwenzake sijawahi kumuona uwanjani.
  • Timu ikaendelea kuvizia na kunyakua wachezaji wasio na soko na bei ya kuokoteza kama vile Minamino, Tsimikas, Kabak, Devies ambao kiuhalisia hawa ni wa Midtable Teams na wala hawana future yoyote ndani ya Liverpool.

Sasahivi tunavuna tulichokipanda.

Mimi sikubaliani na kisingizio chochote zaidi ya kusema hii Timu ni Mbovu.
Tena ilikua inasemwa hakuna mchezaji atakumbali kucheza second fiddle kwa Salah Bobby au Firmino na maneno mengi mengi.

FSG mpaka sasa hua ni ngumu kuelewa kama kweli wanaelewa uwekezaji wa kujenga kikosi cha ushindi endelevu. Hawa jaama mara ya mwisho kutoa mkopo wa kununua mchezaji hata sikumbuki ni lini. Wao wametoa mkopo ama kudhamini mikopo kwa ajili ya kuongeza ukubwa wa Anfield na mkopo pia kwa ajili ya New Training ground AxA. Huu wa kujenga Anfield nadhani wanaanza kulipwa Mwaka huu.

Ukitazama wanavyosajili hawa watoto utaona ni dhahiri hawa wanafuata mbinu za uwezekazaji wa Red Bull teams. Na taarifa wamefanikiwa kwa mfano kwa Solanke walimnunua bei chee wakaja uza bei kubwa, na pia Hoever vile vile design kama hio. Kwa sasa zipo tetesi wanatafuta timu nyingine Ulaya wanunue ili iwe kama feeder club ya Liverpool. Haha hii yote wanakimbia kutoa mamilioni kama vile wanavyofanya Chelsea na Manchester City. Ukitazama tangu 2015 mpaka sasa kwenye usajili Manchester City wametumia zaidi ya £800m kununua wachezaji. Tazama table hapo chini.
Screenshot_20210221_090047.jpg

Liverpool wamenunua wachezaji wa £470.9m na wameuza wachezaji wa £378.5m ina maana ela iliyotoka klabuni kwenye akiba ni £92.4m., sasa tazama kwa Manchester City £505.6m ilitoka klabuni maana mauzo yao ya wachezaji sio makubwa. Hii ni balaa kwani wao kununua mchezaji wanaemtaka sio lazima kuuza ndio kununua kama Liverpool wanavyofanya na hii inawapa consistency ya ku challenge top honours kwani kikosi kimesheheni super talent.

Ukitazama net spent per season ni £18.5m yaani hawa FSG wao ni kuvuna tu.

Imagine Origi ndio tegemeo letu kuturudisha BIG 4 jamani like serious. Ki ukweli wachezaji wazuri hujulikana pale timu ipo vimbaya lakini wao wana shine kuokoa jahazi tuliona sana hayo kwa Steve G, Messi, Ronado, Bruno nk.

Liverpool kwa sasa wachezaji wote wamepoteana hata zile instinct za pasi hazipo kabisa.

Tunabitaji Edward awe na Juni bizy kweli kweli kuturudisha kwenye ukali. Hii shinda ya ku unlock deep playing teams lazima watafute jawabu kama Thaigo ndio jawabu basi mfumo uwe flexible kwake ili tuone kazi yake.

Yajayo yanatisha.

YNWA
 
Real Madrid msimu uliopita wakati wanakua bingwa Spain walikua na majeruhi kadhaa especially Hazard alisesajiliwa kuwa focal point wa timu ni majeruhi kwa nyakati tofauti na jambo ambali Zinedine ali masta vyema ni kubadili mfumo kutokana na timu pinzani na wakati mwingine alibadili wakati gemu inaedelea na hatimae wakawa mabingwa..

Kuna mechi 2 Klopp alimtumia Gini kama DM na Thiago akawa 8 na tuliona matunda yake ya ushindi. Pale pale ndio angeanzia kujenga upya kikosi kimfumo na pia kwa consider opponent set up.

Since 2016 mpaka December 2021 huu mfumo wa dynamic 433 umetuletea mafanikio makubwa sana sishangai sana Klopp kuamini kwani umempeleka kufika na kushinda kama ifuatavyo..
Fainiali Carabao
Fainiali Europa
Fainali Uefa
Kushinda Uefa
Kushinda Super Cup
Kushinda World Club Cup
Kushinda Premier League 🏆.

Kwangu naona MF imekua pedestrian hatoi sapoti kwa Defence na haitoa sapoti kwa Forwards. Kingine Mane Salah Firmino have dropped big time. Na defence is not the same without Gomez VVD.

Klopp found us bad than we are am positive he will reclaim the lost ground.

YNWA
Namuheshimu Sana Klopp.Infact Kwangu ndiye kocha ambae ameleta mafanikio makubwa zaidi Liverpool katika kipindi cha miaka 20 iliyopita.Ndiye kocha ambae amerudisha ukubwa wa Liverpool,heshima ya Liverpool na ametuletea mvuto ambao unawafanya wachezaji nyota kabisa kutaka kucheza Liverpool.Makampuni makubwa kama Nike sasa yanafanya kazi na Liverpool..Hauwezi kutenganisha hivi vitu na Klopp...

Lakini Klopp huyu nae kuna muda anazingua Sana.Kitu kimoja cha uhakika ambacho Klopp anazingua ni kuendelea kutumia 4 3 3 wakati anazo sababu za msingi za kubadili mfumo.Injuries za mabeki, kushuka viwango kwa full backs na hata front three na kuwa na wachezaji ambao ni wazuri kwenye mifumo mingine kuliko 4 3 3.Hizi zilitakiwa kuwa sababu za kufanya mabadiliko ya shape ya timu kulingana na opponent.Takumi,Thiago,Keita,Gini,Origi etc ni wachezaji ambao wanaweza kuonekana flops kwenye mfumo wa 4 3 3 lakini wakawa wazuri zaidi kwenye 4 2 3 1 au hata 4 4 2.Sasa kwa nini usitumie huo mfumo ambao utakufanya upate asilimia zaidi ya 80 za ubora wa mchezaji na badala yake unaamua kukomaa na mfumo ambao unaupata ubora wa mchezaji yule yule kwa asilimia 20?Unafanya makusudi Ili aonekane ni flop?

Hata hao akina Mane ,Salah sometimes tunawaonea tu kuwakosoa.Wamecheza Sana mfululizo bila break na kocha hataki kutumia wachezaji wengine kwenye mifumo inayowasuit zaidi.Rotation ilitakiwa kuhusika Sana baada ya majeruhi huku mfumo ukiwa unabadilika mara kwa mara Tusingekuwa ambapo tupo sasa hivi..

Bado Hizi lawama zangu kwake haziondoi heshima kwake kama nilivyoeleza para ya kwanza...
 
Kuna siku Don Clericuzio alihoji kuhusu usajili wa hawa KABAK na DEVIES kuwa Je, ndiyo wachezaji wa kutupa Makombe EPL na CL?
Dah! Wanazi walimuona anamkosoa Klopp ambaye anajua zaidi kuliko Don.

Naamini wameshaanza kuelewa
Mkuu King Ngwaba kwa tetesi za pundit magazeti mengi majuu kipindi kile cha usajili ni kwamba Klopp alikua na majina yake anaowahitaji kuna beki wa Lile huyu alikwenda mpaka Airport , kuna beki wa Bragga, kuna beki wa RB Dayot, kuna beki wa Torino na kuna mmoja Ujeremani kutoka Bukinafaso sikumbuki anachezea timu gani. Wote hao walitakiwa cash sio mkopo kama Kabak na kingine pia walichelewa kuingia sokoni maana walianza mbio pale Matip alipoumia na siku zilikua zimeisha. So timu walikua honest na kusema tukiwauzia sasa hatutapata muda wa kusajili mbadala hivyo tupeni kabisa ela ili tuwe na kifua kuingia sokoni jambo ambalo Liverpool walichemka. Mpaka Klopp anakuja kusema yeye hatoi Cheque kununua wachezaji ujue ni ujumbe kwa wamiliki ule kwamba i need support and i need its now otherwise sitokua sacrificial lamb kwa mashabiki.

Kabak ni usajili wa FSG sio Klopp hilo lipo wazi.

Davies huyu ni design ya Solanke ama Ings yaani subiri uone watakuja kupiga ela ndefu. Japo dogo nasikia kipaji. Tuwe na subira tutamuona soon.

YNWA
 
Kuna siku Don Clericuzio alihoji kuhusu usajili wa hawa KABAK na DEVIES kuwa Je, ndiyo wachezaji wa kutupa Makombe EPL na CL?
Dah! Wanazi walimuona anamkosoa Klopp ambaye anajua zaidi kuliko Don.

Naamini wameshaanza kuelewa
Hahahahahahahahah........umeanza kutafuta Excuse sasa kama ilivyokuwa kwa Adrián ,Origi ,Gini ,Henderson umehamia kwa Kabak na Davies ......... Alcantara yeye ameongeza nini kwenye timu mpaka sasa mnawapotezea kama hamuwaoni vile kwa sababu ni Favourite sio.
 
Haya yanayotokea ni majibu ya posts zetu za misimu miwili iliyopita.

Wakati tunapiga kelele kuwa Hawa Wachezaji waliopo ni binadamu watachoka tu na kupoteza uwezo hivyo Timu lazima iwe inasajili mbadala wa hawa wachezaji kidogo kidogo.

Majibu tuliyokuwa tunapewa ni ya kukatisha tamaa kabisa kama vile:-

  • Don't disturb our front three ndiyo waliotupa makombe
  • Don't disturb our Midfielders ndiyo waliotupa makombe
  • Hakuna mchezaji anayeweza kupata namba mbele ya Front 3 wetu hivyo tusisajili.

Hatimae kilichotokea:-
  • Tuliletewa Vitoto kina Ki-Jana, Van Dem Berge, Kuna kamoja kutoka South America huko, Elliot, na takataka nyenhine eti ni Future Plan wakati uhalisia hawana Future ndani ya Liverpool.
  • Timu ikaokota wachezaji wasio na Timu kama vile Adrian na golikipa mwenzake sijawahi kumuona uwanjani.
  • Timu ikaendelea kuvizia na kunyakua wachezaji wasio na soko na bei ya kuokoteza kama vile Minamino, Tsimikas, Kabak, Devies ambao kiuhalisia hawa ni wa Midtable Teams na wala hawana future yoyote ndani ya Liverpool.

Sasahivi tunavuna tulichokipanda.

Mimi sikubaliani na kisingizio chochote zaidi ya kusema hii Timu ni Mbovu.
mkuu atleast kwa kabak, lakini hao wengine upo sahihi.....

ukweli hii timu yetu haina wachezaji wa akiba, nadhan its a good wakeup call kwa wamarekani..... kwa sasa uamuzi walionao ni either wamwondoshe klop au wasajili

ule upuuzi wa ku-renew contracts za waliopo et ndio priority nadhan watauacha, otherwise waendelee na upuuzi wao!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom