Pool Table
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 1,680
- 2,891
Mnaonaje mwende kwanza championship mkajipange mkiwa poa mrudi ten epl
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Top 4 ni ya man City, Leicester, Everton na Westham nyie pambaneni kupata nafasi ya 10
Duh!! 2 kavu. Hii sio haki bora waamie tu hapa kwenye ligi yetu ya 80MLiverpool 0-2 Everton
Nakumbusha ni anfield hapo
Sikh hizi zile kauli za "this is anfield" wanaongea walevi ..
Kauli za "anfield hatoki " naona zimepotea kabisa humu.!
Saizi wanaugulia wao na klop ..!
Pole sana mpendwa kutoka kuwa bingwa wa dunia hadi kucheza championship hakika unastahili huruma ya dhatiLiverpool HALISI soka ina ups and downs
Tuzidi shikamana tusiikimbie team ikiwa inafanya vibaya
Tuna shinda wote
Tunafungwa wote
Waacheni Liverpool feki wazidi shangilia haya matokeo