Futa haya mawazo ya kimasikini wewe takataka..Kikubwa sasa Klopp ahamishie majeshi champions league, huku tumeshatota, top 4 tutaisikia kwenye majira! Kule wakaze kama Mungu akijalia wachuke ubingwa tu hamna namna mwakani tutashiriki Champions league!!
Takataka mamako!
Wamekulisha mkeka nini mbona una hasira kiasi hichi?Klopp on sky sports:
'Ni kweli tumebanduliwa bila huruma, na nilimuona Kocha wa Leipzig akipewa condom moja iliyobaki baada ya zile mbili kutumika.'

MtotoWamekulisha mkeka nini mbona una hasira kiasi hichi?
Takataka mamako!
Ipo hivi tangu muda Sana.Kwamba bila 433 Klopp haingizi timu uwanjani...Bila kujali wapinzani washaisoma inavyofanya kazi..Ni bonge la conservative huyo Klopp.Halafu asibadili tena mfumo ye aendelee hivyohivyo kucheza na huo mfumo mmoja,too late to change...Kwa kuzingatia majeruhi tangu mwaka jana huyu Klopp alitakiwa kubadilisha shape ya timu..Lakini anakomaa na hiyo 433 utafikiri kwenye ukocha wake kasoma hiyo tu...Mpaka baadhi ya wachezaji wanaonekana ni flop kumbe kocha hana mifumo mbadala ya kuwa accommodate..Ngoja aendelee kuvunja rekodi za tangu 1920 huko..Obviously Klopp hana resources tena za kuendelea kutumia 4-3-3.
Sasa hivi turudi tu kutumia the orthodox 4-4-2 ya kina Sean Dyche, Sam Allardyce, Mourinho, etc hadi hali itakaporuhusu tena,
Amepewa idhini na nini kuniita mimi takataka? Akome kabisa mshenzi mkubwa huyu! Nilikosea wapi katika kutoa maoni yangu? Tunakubali rasmi sisi siyo tena among the EPL title contenders.Kuwa mvumilivu kaka
Team haifanyi vyema kubali dhihaka ya kila aina,matusi sio uanamichezo
Mkuu Ollachuga Oc wakati msimu unaanza ulikua hakauki humu na sifa wewe ndio bingwa mtarajiwa 2020-2021 lakini baadae hayo maneno ukanywea wala hukusema tena... Hayo ndio maisha ya soka unakua na wakati mwema kipindi fulani na wakati mbaya nyakati zingine. Tupo vimbaya kwa sasa wala hatuna cha kusingizia.. Pamoja na yote wote ni BIg 4 contenders hivyo tuchekani sasa ila mpaka mwisho wa msimu tutaona nani atacheka mwisho.Injiniyaaaa soma iyooooo..
7 Vs AstonVilla
4 Vs Man City
3 Vs Leicester
1 Vs Briton
3 Vs Man u
1 Vs Burnley
1 Vs Soton
2 Vs Atalanta
2 Vs Everton
?? Vs Shelfeld United
?? Vs Chelsea
?? Vs Fulham
?? Vs Leipzig
You will Never Walk Alone.
#YNWA
Klopp Mi5 tena.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app