Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ni kama Klopp ameshaishiwa ideal sasa.
Mkuu Klopp au wachezaji wake pale mbele na klosi za TAA na Robbo zimekua sio quality...

Aidha hua nasema huko mazoezini pengine akijaribu mifumo tofauti anakosa wachezaji sahihi wa utelekezaji kwenye mechi maana tunajikuta tupo ma matatizo identical yaani TAA na Robo wameshajuliwa namna ya kuwa bana....... maana Everton kaja na watano kati sasa kwa hii MF yetu unadhani wangetoboa... To be frank goli 2 ni fair sana...

Klopp atupe majibu ana hati miliki na 4 3 3 ama niaje maana wakuu tumeshajuliwa yaaani Anfield sio tena fortress kama enzi yaani sasa Kocha timu pinzani wanajua wa pin TAA na Robbo na Liverpool wanakua butu sielewi kama ni sisi mashabiki tu tunaona na Klopp halioni ama niaje...

Tumefungwo roho safi Klopp asije tuambia wamepewa penati au upepo yaani tukumbali we are poor in front of goolie...

Haha na leo tena Thiago goli la kwanza katoa assist kimtindo...

YNWA
 
Ladies and gentlemen

Timu inayotetea Ubingwa inamuingiza Mchezaji anayeitwa Origi kutupatia Matokeo

Tumeingia Cha Kike! Ewaaaa 🎶🎵
Tumeingia Cha Kike! Ewaaaa 🎶🎵

Tumeingia Cha Kike! Ewaaaa 🎶🎵
Tumeingia Cha Kike! Ewaaaa 🎶🎵
 
Duuuuh! 1923
Liverpool have lost four consecutive home league games for the first time since December 1923, while they are also the first reigning top-flight champion to lose four consecutive home league games since Everton in the 1928-29 season
 
.
mancity_mcfc-20210220-0001.jpg
 
Anceloti huwa tunapata shida nae sana
Hata alipokuwa Italy ..tukikutana champions league ..Kwa shida sana

Leo Leo katuweza

Kwa ujumla tume improve kitu ingawa sio rahisi mtu kuona..

Defense tumeanza kuwa stable..

Shida sasa imehamia midfield..na mbele..

Firmino na Origi hawataweza kutupeleka top 4
Kikubwa sasa Klopp ahamishie majeshi champions league, huku tumeshatota, top 4 tutaisikia kwenye majira! Kule wakaze kama Mungu akijalia wachuke ubingwa tu hamna namna mwakani tutashiriki Champions league!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom