Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 51,954
- 125,583
Hy moja tutawapa Leipzig waitumieZishatumika 2 bado ngapi kwani
Hy moja tutawapa Leipzig waitumieZishatumika 2 bado ngapi kwani
Leo umevuta ya wapi ndugu.Hahaha Takumi yuko Soton sasa hayuko tena humu looserfools
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Bwana wee tupo kama hatupo hali tete sana...Ametufunga sawa. Ila tumechomoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vip na ninyi Evaton mmechomoa kweli?
Kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hendo kwishney. Injured.
Baada ya LFC msimu uliopita kuwatesa sana timu nyingine, naona timu zote 19 zimekusanya "wachawi" wao wote "waturoge" msimu huu hakiyanani!
Hahaha kazi ipo.Pundits leo tatizo n nini??
Milner au henderson???
Ndugu yangu usitutukane [emoji25][emoji25]Mshagongwaa msumariii hukoo unawakunaa hasaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mmenogewa hamtaki kuuchomoa jamanii livekuku bebez...
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Circle ya Klop katika Coaching Carrier yake (NARUDIA)
Anaikuta timu mbovu
[emoji3596]
Anaifanya kuwa mbovu kwa msimu/nusu msimu
[emoji3596]
Anaifanya kuwa stable
[emoji3596]
Anaifanya kuwa bora
[emoji3596]
Anaifanya kuwa mbovu pengine hata kukaribia kuishusha daraja
[emoji3596]
Anafukuzwa/Anaondoka
Reference Mainz & BVB
Spanish Jonjo ShelveyNampenda Thiago Aĺcantara lakini mpaka sasa sijaona kitu chochote cha maana alichotu offer kwenye timu hana tofauti na Wijnaldum.
Ni kama Klopp ameshaishiwa ideal sasa.
Mlisema ni zaidi ya Bruno.Nampenda Thiago Aĺcantara lakini mpaka sasa sijaona kitu chochote cha maana alichotu offer kwenye timu hana tofauti na Wijnaldum.