Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool 0
Everton 2
😆😆😆😆
Sema vimeumanaaaa🤣🤣🤣🤣
 
Toka wale madogo watoe Bikira hapo kwenu saizi kila mtu anajipigia tu bao anazo taka.
 
Circle ya Klop katika Coaching Carrier yake (NARUDIA)

Anaikuta timu mbovu
[emoji3596]
Anaifanya kuwa mbovu kwa msimu/nusu msimu
[emoji3596]
Anaifanya kuwa stable
[emoji3596]
Anaifanya kuwa bora
[emoji3596]
Anaifanya kuwa mbovu pengine hata kukaribia kuishusha daraja
[emoji3596]
Anafukuzwa/Anaondoka

Reference Mainz & BVB
 
Nampenda Thiago Aĺcantara lakini mpaka sasa sijaona kitu chochote cha maana alichotu offer kwenye timu hana tofauti na Wijnaldum.
Kumbe na huku huwa mnapata shida hizo

Fight for relegation battle

[emoji239][emoji239][emoji239][emoji239][emoji239][emoji239][emoji239][emoji239]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom