Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

hahahaaaa hii timu sijui........ hendo bora akae nje mpk mwisho wa msimu na milner wake!


hii timu labda itabadilika
 
Nampenda Thiago Aĺcantara lakini mpaka sasa sijaona kitu chochote cha maana alichotu offer kwenye timu hana tofauti na Wijnaldum.
 
Naona hamtaki kufunga kabisa


Hahaaaaa


Hawa Everton tumewapiga goli 3 ,nyie hadi saizi mnarukaruka tu uwanjan..

Thiago anazubguka zunguka tu ...
 
Kufungwa sana hua kunasababisha uwe umekomaa hata kunung'unika unaacha unakua unaangalia tu timu inavyojiendea.

Hii timu ina tatizo la creativity na striker. Possession kubwa ila kuconvert umiliki mpaka magoli inakua ngumu watu wakipaki basi kama leo.
 
Nampenda Thiago Aĺcantara lakini mpaka sasa sijaona kitu chochote cha maana alichotu offer kwenye timu hana tofauti na Wijnaldum.
Mpaka sasa ndiye mchezaji mwenye workrate kubwa kuliko wote uwanjani
 
City tulikuwa na fixture nguma balaaa....

Tukuaanza kutemebeza fimbo kwa

Liverpool 1-4 man city

Akaja spurs wakasema mo anaenda kutusimamisha ,tukampa za uso

Man city 3-0spurs

Mkasema maraa ooh kwa Everton pep hatoki ,tukampelekea motoo

Everton 1-3 man city


Sasa nyie kuku Everton kaja anfield naona mnawatafutana tu ....!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom