premier league
- 2013/2014 = mechi 3, goli 0 ndani ya chelsea. Akiwa na miaka 21
- 2014/2015 = mechi 16 magoli 6 akiwa fiorentina.
- 2015/2016 = mechi 34, magoli 14 akiwa AS roma
- 2016/2017 = mechi 31, magoli 15 akiwa AS roma
- 2017/2018 = mechi 36, magoli 32 ndani ya liverpool, akiwa na miaka 25
- 2018/2019 =mechi 38, magoli 22 ndani ya liverpool
- 2019/2020 = mechi 34, magoli 19 ndani ya liverpool
- 2020/2021 = mechi 23, magoli 17..........................
View the player profile of Al Nassr Forward Cristiano Ronaldo, including stats and videos, on the official website of the Premier League.
www.premierleague.com
takwimu za mechi zisitudanganye, cha umuhimu ni kuangalia mazingira ya ukuaji wao kisoka, kumfananisha
mohamed salah huyu aliyekwisha pevuka kisoka dhidi ya
ronaldo yule aliyekuwa akikimbia uwanjani na vichenga vyake uchwara kwa takribani misimu mitatu (kuanzia miaka 18 hadi 21) si jambo sahihi hata kidogo (sielewi ni kwa sababu gani hoja hii inapendwa sana kuletwa ndani ya hii thread, nafikiri ni mara ya nne kuishuhudia).
Mapinduzi ya kisoka aliyoyaleta
mohamed salah ndani ya liverpool nayaweka daraja moja na yale mapinduzi yalioongozwa na
eric cantona.