Inamaana kafunga lingine leo?Kazi kwa vijana leo kufanya kweli Darajani washa drop pointi sasa derby ni ushindi hakuna namna...
Thanks Taikumi.
YNWA
Tena na leo la ukweli balaaa...Inamaana kafunga lingine leo?
Uchawi upoDunia yote anae pinga apinge tu
Taikumi awa mchezaji wa kwanza kuwafunga Chelsea chini ya kocha mpya Tomas..
Goli moja matata sana.
Go Taki Go Taki.
YNWA
Na sasa Southampton na Sevila wanamtaka mazima ndugu yaaani...Klopp alikuwa amempotezea confidence bwana Takumi huko Southampton atakiwasha sana
Mlidhani natania..Peter Drury: Calvert Lewiiiiiiin!!!!!!,it's in...Liverpool are trailing at Anfield in just three minutes..
How can you explain that Jim (Belgin)?...
Jim Belgin: Liverpool defence is looking shamble again,and the new kid on block(Kabak) is not helping anything.
Evertonian tujuane mapema?
Tumeisha nyukwa yaan we acha tuLeo mmejiandaaje na sare![]()
TupoSikujua kama tunaweza kuwakimbiza Watu kwenye Uzi kwa kiasi hichi kisa tu tumeshinda magoli tuwili.
Vimeumana🤣🤣🤣 liverpool anataka kuwa kama asernal🤣🤣
Wako ngapi ngapi hao kuku wa ulaya mkuu?
Bado upo kwenye Title Race Mkuu.Hendo kwishney. Injured.
Baada ya LFC msimu uliopita kuwatesa sana timu nyingine, naona timu zote 19 zimekusanya "wachawi" wao wote "waturoge" msimu huu hakiyanani!
YamepigwaWako ngapi ngapi hao kuku wa ulaya mkuu?