TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,196
- 18,225
Please doNaitunza hii post yako.
Please doNaitunza hii post yako.



Leo sijui kwanini sina wasiwasi Leo, tunashinda leoKama kawaida leo tunaendelea na msiba tena.
Hakuna namna itabidi hichi kikombe mnywe tu..
Liverpool khalisi,maslahi,Pep tuko pamoja katika hili.
Twende na Leipzig sasa tu maana ndo kilichobaki.
#kloppout #kloppout #kloppout ndo motto wetu kwa sasa.
#CFC
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kwani huyu Henderson aliwalisha nini,failures zote za Liverpool tatizo ni yeye hata mfumo wa Timu haubadiliki ili mfumo uliopo umu favour yeye.wale madogo wanaachwa kuchezeshwa pale nyuma kwa sasa ili Hendo acheze pale kati Klopp huwa anashindwa kupanga majembe vizuri ili hendo acheze.Please please klopp usimpange THIAGO Leo.
Mrudishe Hendo sehemu yake
Usiwe na hofu Nyuma muweke PHILIPS NA OZAK..
ningependa umpumzishe Robertson umpange Mgiriki but sioni ukifanya hivyo
Muweke Jones na GINI kati pamoja na Hendo.
Mbele waache kama walivyo maana JOTA hajapona na hata kama kapoma don't rush him tusijemkossa mazima.
MAANA kosa lako kumpanga na mijiytland ndo limetukost tumemkosa mechi kibao.
Hapo ushindi utakuwa Mia Mia.
Ila THIAGO akianza tutakuwa slow. The guy hana assists hata moja. For me now ni 40% flop. "why we bought him"???
Kwani huyu Henderson aliwalisha nini,failures zote za Liverpool tatizo ni yeye hata mfumo wa Timu haubadiliki ili mfumo uliopo umu favour yeye.wale madogo wanaachwa kuchezeshwa pale nyuma kwa sasa ili Hendo acheze pale kati Klopp huwa anashindwa kupanga majembe vizuri ili hendo acheze.
Kuna kitu gani mnakiona kwa huyo jamaa ambacho wengine tumeshindwa kukiona!
Naam, 2 goalsLeo sijui kwanini sina wasiwasi Leo, tunashinda leo
Pamoja na shughuli yote anayoifanya uwanjani kumbe Mane analipwa mshahara wa aina hiyo!!?
Refer chelsea nafikiri ni 2005 kwenye ligi ilikuwa nafasi ya 7 lakini ilikuja kuchukua uefa... Sema ukiwa unasuasua ni rahisi kuchukua uefa kuliko kuchukua ligiJamani eeeh, unaweza ukawa na msimu mbaya katika ligi ya "nyumbani" lakini ukafanya vizuri katika ligi ya mabigwa wa Ulaya. Endeleeni kuifuatilia timu yenu!
2012 Chelsea ilikuwa nafasi ya 6 ktk msimmamo wa EPL lakini UEFA CL ilibeba ndoo chini ya Ligendary Man D Drogba akisawazisha goli 1 - 1 dakika za lala salama na kushinda penati ya mwisho.Refer chelsea nafikiri ni 2005 kwenye ligi ilikuwa nafasi ya 7 lakini ilikuja kuchukua uefa... Sema ukiwa unasuasua ni rahisi kuchukua uefa kuliko kuchukua ligi
Unawaza kuwa bingwa UEFA?2012 Chelsea ilikuwa nafasi ya 6 ktk msimmamo wa EPL lakini UEFA CL ilibeba ndoo chini ya Ligendary Man D Drogba akisawazisha goli 1 - 1 dakika za lala salama na kushinda penati ya mwisho.
Jana nilimwambia jamaa yangu flani kuwa Liverpool itashinda dhidi ya Leipzig hata kama hayupo vizuri ktk EPL maana kwa UK ni Liverpool ndiye mwenye nyota na UEFA sawa na EPL kwa Man U au FA kwa Arsenal kimafanikio lakini alinikatalia kabisa, tatizo upinzani kindakindaki baina yake na Liverpool ndiyo ulikuwa unamtesa maana Jamaa ni mshabiki haswa wa Man U, japo sikuwa na uhakika kwa PSG dhidi ya Barcelona.
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Jamani eeeh, unaweza ukawa na msimu mbaya katika ligi ya "nyumbani" lakini ukafanya vizuri katika ligi ya mabigwa wa Ulaya. Endeleeni kuifuatilia timu yenu!


Please please klopp usimpange THIAGO Leo.
Mrudishe Hendo sehemu yake
Usiwe na hofu Nyuma muweke PHILIPS NA OZAK..
ningependa umpumzishe Robertson umpange Mgiriki but sioni ukifanya hivyo
Muweke Jones na GINI kati pamoja na Hendo.
Mbele waache kama walivyo maana JOTA hajapona na hata kama kapoma don't rush him tusijemkossa mazima.
MAANA kosa lako kumpanga na mijiytland ndo limetukost tumemkosa mechi kibao.
Hapo ushindi utakuwa Mia Mia.
Ila THIAGO akianza tutakuwa slow. The guy hana assists hata moja. For me now ni 40% flop. "why we bought him"???