Ppmosile
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 1,232
- 1,890
Hivi bado mashabiki wa livakuku wanaendelea na uzi wao.wasipoangalia vizuri hapo wataenda hadi nafasi ya 8
Hivi bado mashabiki wa livakuku wanaendelea na uzi wao.wasipoangalia vizuri hapo wataenda hadi nafasi ya 8
Mkuu hio ngumu kujua aisee hizo crash programme amezifanya kwenye defence baada ya kupata majeraha unaona mFS ndio mabeki sasa.I havent seen our Gaffer raising Crash Programmes , he always stay old school
Thats for example setting some players to Irregular roles say Trent to Defensive holding midfielder or Attacking midfielder
Bayern Munich conduct Crash Programmes a lot
Mwenyekiti kasema, mimi ni nani nipinge?Liverpool HALISI leo tunacheza na Leipzig mashindano ya UCL,tuzidi kuwa nyuma ya team,kocha Klopp is there for minimal adjustment,will be fine!
Hamna sababu yyt ya kutukana team na wachezaji hasa kipa Alisson aliye ifanyia mema sana liverpool,waacheni Liverpool Pep waendelee kutukana
Sisi tushikamane zaidi
In alisson we believe
Naitunza hii post yako.Manure hana ubingwa leo Wala kesho
Na kwa ole, watamaliza kafara na mazindiko
Kocha mpya wa nini?Dah! Umekuwa mpole siku hizi!! Labda nisikie mumeleta Kocha mpya! Lakini kwa Ole sahau kuhusu ubingwa.
Please please klopp usimpange THIAGO Leo.
Mrudishe Hendo sehemu yake
Usiwe na hofu Nyuma muweke PHILIPS NA OZAK..
ningependa umpumzishe Robertson umpange Mgiriki but sioni ukifanya hivyo
Muweke Jones na GINI kati pamoja na Hendo.
Mbele waache kama walivyo maana JOTA hajapona na hata kama kapoma don't rush him tusijemkossa mazima.
MAANA kosa lako kumpanga na mijiytland ndo limetukost tumemkosa mechi kibao.
Hapo ushindi utakuwa Mia Mia.
Ila THIAGO akianza tutakuwa slow. The guy hana assists hata moja. For me now ni 40% flop. "why we bought him"???
Hahhaaaa mmeanza kuleta visingizioPlease please klopp usimpange THIAGO Leo.