Mkuu Trent na Robbo wapo hoi hawa niwakupumzishwa lakini je nani acheze hizo nafasi zao na ukumbuke Klopp anamshambulia kutumia flanks na msimu huu asilimia kubwa ni kupitia upande wa Robbo..
Tsimikas pengine ni wakati aanze kupata dikika saa ili Robbo ajikusanye vwa kutosha mechi zimebakia EPL 14 na za UEFA na sio za kupoteza kama tunahitaji kubakia BIG 4.
In the meantime
Bayern Munich are stepping up their pursuit of Norwich City right-back Max Aarons... Huyu dogo kwa kweli angetufaa sana upande wa Trent.. Bayern na Barcelona wameonyesha nia kumdaka sioni tena kama tunaweza kumpata maana Neco sio EPL material bado anahitaji acheze kwingine kwa mkopo hata misimu miwili hivi.
YNWA