Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa hyo unataka kutuaminisha hao walio ongea hayo maneno wanajua kuliko kocha wako guropu? Yako acha kutafuta mchawi umefuria ukaniona bora kumtona MINOMINO
 
We jamaaa acha kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Wamefungwa wamefungwa fulstop.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2960][emoji1786][emoji1786]
 
KLOPP + MILNER. + HENDERSON Hawa jamaa hawa kuna mchezo mchafu wanaufanya nje ya mpira ambao sisi hatuufahamu kuna kaharufu ka MAPENZI YA JINSIA MOJA hapa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23], mkuu yashafika huko?
 
Yawezekana
 

Point mkuu
 
Wachezaji wetu hawajacheza vizuri na sio jana tu imekuwa toka tumeingia 2021, mwaka huu tupigane tumalize top 4 mipango na uhakika imeanza kujenga kwa msimu ujao tukubali mwaka umekuwa sio mzuri. Kuongelea jana kipa Becker alikuwa na game mbaya sana hata yeye anajuwa na team nzima ilikuwa chini ya kiwango. Tu support team yetu kipindi hiki kigumu na uhakika tutapita hali hii.
 
Nilitegemea hivyo pia...amuanzishe kabak na fabinho then hendo arudi kiungo chake..lakin ndio hivyo kocha ndio mwenye maamuzi..
 
Nilitegemea hivyo pia...amuanzishe kabak na fabinho then hendo arudi kiungo chake..lakin ndio hivyo kocha ndio mwenye maamuzi..
Jana tulihitaji pointi tatu zaidi kuliko Manchester City lakini hatukuonyesha nia wala njaa...

Tumepotea..

Tumepatikana..

YNWA
 
Nyie loserfool mnaraha gani mnalala Hadi sasa hivi hebu amkeni amkeni 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Matip was the one , Yes at our Club Matip is second only to VVD

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
Mkuu hivi unajua ki stat Gomez yupo powa zaidi ya Matip..

Hizi ni stat za last season

We’ve taken a closer look at Liverpool’s Premier League record with each of Matip, Gomez and Lovren starting at centre-back since the start of the 2018-19 season to the end of 2019 2020 season.

With Matip starting at CB
Games: 25
Wins: 19
Draws: 6
Losses: 0

Win rate: 76%
Loss rate: 0%

Points per game: 2.52
Goals conceded per game: 0.64
Clean sheet ratio: 48%

With Gomez starting at CB
Games: 30
Wins: 25
Draws: 3
Losses: 2

Win rate: 83.3%
Loss rate: 6.7%%

Points per game: 2.6
Goals conceded per game: 0.7
Clean sheet ratio: 53.3%


As the stats show, Liverpool have actually earned the fewest points per game with Matip starting over the past two seasons.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…