Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu pale nyuma bila VVD na Gomez tunaishi kwa nguvu za Mola hawa wengine tunabahatisha..

Hiii gemu ilikua Klopp awaanzishe Kabak ama Davies na si vingine..

Honestly am at peace sikutegemea zaidi ya haya ya leo na nilovyomuona tena Milner nikasema kweli we are doomed.


YNWA
Gomez that Crap

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Walio ingia hawana shida. Kama kipa anagwa mpira kwa maadui hata ungeweka akina Messi wanne mtafungwa tu.
KIPA a napiga magoti kudaka shuti linalopaa Sasa wakina milner wafanye nini

Hays yanayotokea kwa Kipa ni sababu ya kushambuliwa kumbuka kuwa Man City hawaondoki golini kwetu.

Sasa tunaitafuta sababu ya kushambuliwa ndiyo hapo tunalaumu Sabs za kina Milner wakati Jones alikuwa anacheza vizuri tu
 
Nachoshukuru katika uhai wangu toka nianze kuishabikia Liverpool mwaka 1998 hadi 2020 nimeshuhudia timu yangu ikichukua ubingwa wa epl mara 1 tu

Simlaumu klopp kwa kwel kaz aliyoifanya n kubwa sana haya n mapito tu

Nikilalamika sana vp kuhusu shabik wa arsenal aliyeanza kuishabikia mwaka 2009 atasemaje na hali ya timu yake ilvyo japo inauma sana naziona tano hapa
Sasa kama kaanza 2009 wakati msimu wa 2012/2013 Man U alikuwa Bingwa
 
Hii clean sheet ya ManCity sijui nani ataichafua.,nilijua ni sisi leo
 
Hays yanayotokea kwa Kipa ni sababu ya kushambuliwa kumbuka kuwa Man City hawaondoki golini kwetu.

Sasa tunaitafuta sababu ya kushambuliwa ndiyo hapo tunalaumu Sabs za kina Milner wakati Jones alikuwa anacheza vizuri tu
Doesn't add up why the excellent Jones amekuwa substituted. Firmino alikuwa anarukaruka tu pale mbele goddamn it!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom