Hahaha sijui kama kuna gemu anakosa kadi huyu...
YNWA
🎉🎉🎉🎉Alhamdullilahhhh
Yaani nilivyomchoka huyu babu babuka..Milner wa nini huyu?
Tena anamtoa Jones
Hahaha bwana wee Klopp naona kwake sare ni ushindi.. Sasa Milner wa nini..Naona umetoka mafichoni baada ya kusawazisha
Mkuu kwani wewe impact ya Milner kwneye intensity hua unaiona...Tunamtoa Jones tunaingiza Milner?Dah
Kama namuona MosDef huko anatukana..