Nimeedit mkuu n arsenalSasa kama kaanza 2009 wakati msimu wa 2012/2013 Man U alikuwa Bingwa
Acheni kumtoa Kafara Milner ndugu zanguni ,mbona mnamfumbia macho Gini na Klopp wake ?
Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
Mkuu kwanza leo my best Liverpool player kwenye hiki kikosi Allison kafanya blunder za ajabu yaaani haikumbaliki kipa wa level hizi kweli afanye vile lakini sasa Soka ni mchezo wa makosa na ukayafanya dhidi ya Pep bila shaka utaumia...Acheni kumtoa Kafara Milner ndugu zanguni ,mbona mnamfumbia macho Gini na Klopp wake ?
Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app





Mmezingua.Nilikwambia zamani kuwa sisi hatuna Uwezo wowote wa kumfunga Man City
VVD made him better Mkuu we have to accept he played a big part us winning the 19th EPL trophy...
Doesn't add up why the excellent Jones amekuwa substituted. Firmino alikuwa anarukaruka tu pale mbele goddamn it!
Mkuu Klopp hawezi kuwaweka benchi Henderson na Milner hawa wawili ni Mashoga zake wa kudumu.Hivi tumemsajili Kabak kuja kibali bench? Kweli? Huyu mzee basi tena kutuuza aisee! Henderson na Fabinho walitakiwa warudi kwenye nafasi zao!
Aisee sioni sababu ya kutufunga leo
Mambo ya anfield sijui ,tayari ilishapasuliwa na burnely na brghton
Sasa pep aanatakiwa kuchanga karata zake vizur kuchukua point 3 mapema ........
Mkuu sitazungumzia tena ubingwa, mimi unajitoa rasmi! Nasubiri mwakani! Ila sitahama LiverpoolMkuu Klopp hawezi kuwaweka benchi Henderson na Milner hawa wawili ni Mashoga zake wa kudumu.
Hiyo ya kwanza sio kweliMan city first win at anfield since 1973..dah
Pep first win at anfield too
Hapanaaaaa!!Alison is karius Max pro