King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,370
Amkeni amkeni amkeni
Manure 1 - 2 Sheffield United
90' Minutes
Manure 1 - 2 Sheffield United
90' Minutes
The Blades 🔪 are cutting really harsh haha...Amkeni amkeni amkeni
Manure 1 - 2 Sheffield United
85' Minutes
Kwa hiyo ndugu zangu, tunaoelekea kukata tamaa ya ubingwa naomba kubadili mawazo dimba ndio kwanza linashika kasi!! Manure Kafia OT kwa timu iliyo mkiani! Na sisi tuwaulize, mwili wa marehemu unasafirishwa au mnazika hapo hapo OT? Bwaaaaaaha ha ha haaaaaaaaaa!!The Blades 🔪 are cutting really harsh haha...
Chris Wilder thanks very much...
Ni mwendo ule ule kila mmoja ashinde mechi zake...
YNWA
Nyoooooo,,, kufa zako! Oooh, Jogoo kanyolewa nyumbani kwake Anfield, sasa nyie leo mmefanywaje? Bora hata sisi tukifunga na kitimu kiko kwenye form, nyie mnapigwa na Sheffield United? Timu inabeba timu zote kwenye msimamo? Bwaaaaaha ha ha haaaaaa!Natamani mfungwe na Tottenham
Hii kauli niliitoa jana wakati mechi ya Manure inaendelea, hamadi naamka asubuhi nakuta Manure kafia OT mpaka raia hawaelewi kama wasafirishe mwili wa marehemu au wazike hapo OT!Round ya pili ndiyo kwanza inaenda kuanza! Bado sana maana chochote chaweza kutokea!
Eeh! Huna jema weweNatamani mfungwe na Tottenham
Daah Bob subiri mpaka March hukoManchester City bingwa wa EPL 2020-2021 ametuacha pointi 7 na wote tumecheza gemu sawa 19...
Tujipange kwa msimu ujao.. Huu FSG hawapo kwa kweli wapo lockdown.
YNWA
Kutesa kwa zamu...Kwa hiyo ndugu zangu, tunaoelekea kukata tamaa ya ubingwa naomba kubadili mawazo dimba ndio kwanza linashika kasi!! Manure Kafia OT kwa timu iliyo mkiani! Na sisi tuwaulize, mwili wa marehemu unasafirishwa au mnazika hapo hapo OT? Bwaaaaaaha ha ha haaaaaaaaaa!!
Mkuu MmangO kwema ndugu...Daah Bob subiri mpaka March huko
Kuna ile Kenge moja inayojiita sijui Kitobo nadhani imeshajifunza Adabu huko iliko
Kuwashangilia tu? Kusali na kuomba tuachane nako?Liverpool HALISI leo tuna mechi muhimu sana,Klopp kawaandaa vijana vyema na kazi yetu ni kuwashangilia
Tukutane muda huo kushangilia team yetu
Amiiina