Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Fabonho shifted from Midfield to Centre Back but is not a big issue

Hendo shifted from Midfield to Centre back kwa game 2 only, You can see this kwenye Cover page ya Magazeti yote ya Uengereza kama Skipper is a leader, humble boy and very discipline kukubali kuhama position yake kutoka Mido to CB

Mcheza kwao hutunzwa ..
Waache wapende vya kwao.
 
Kwa taarifa hii ya Deloitte ni wazi pesa ipo hivyo FSG waache danganya toto..

Bila UCL tumekwishaaaaaa..

YNWA
Watakuwa wapare hawa sijui..
Labda wanataka kushusha vifaa vya gharama zaidi labda..

Ila FSG wanazingua Sana ..wasije shangaa tukakimbiwa mafundi wetu kabla ya muda sasa.
 
Mkuu MmangO kwema ndugu...

Ishu ni kwamba tupo kama hatupo..

Sometimes haya mambo hutokea ndugu na kuhitaji one proper game kama hii ya Spurs ili kurudi kwenye mbio...

We are eagerly waiting to see the boys reclaiming thier winning mojo...

Pazuri ni kwamba hata wengine wanatoa matokeo yasiotarajiwa jana Leicester katoa sare huku Stretford boys nyumbani wakilala 2...hivyo tuna gemu 19 za kufanya jambo EPL.

YNWA
Kwema ndugu..

Niko nachungulia ratiba na kuitazama game zao hawa wawili kwa zaidi ..
Man City na Liverpool, tujipe muda kidogo muda wa kupambana upo na mafanikio yapo tukianza na leo...

Mwezi ujao na mwanzoni mwa March..
Tunaishi humu
View attachment 1688190
Screenshot_20210128-070908_1.jpg
 
Watakuwa wapare hawa sijui..
Labda wanataka kushusha vifaa vya gharama zaidi labda..

Ila FSG wanazingua Sana ..wasije shangaa tukakimbiwa mafundi wetu kabla ya muda sasa.
Bado siku kadhaa kupata CB ndugu na kuokoa msimu wetu....

FSG wana hali tete Barcelona soko kuu lao are almost to be declared bankrupt debt almost totalling £1bn na hapo wachezaji wao wamekumbali punguzo la salary la almost 70%...sasa ndugu kwa mwendu huu unadhani nani atamnunua huyo Salah huku Real Madrid wakijipanga kumnasa Mbappe lol labda PSG waje kwa ajili ya Mane ama huyo Salah lakini nao wapo hoi sana kipesa...

Hio policy yao ya sell to buy inaelekea kuwakamata vilivyo na wasipobadilika itakua anguko lao..

YNWA
 
Our current situation pondering on it you endup being really really sad and disheartened
Really sad and they have pushed the gaffer to speak his mind after frustrations with the results and almost the victims has been the defence...

Klopp rarely points fingers man.. Even during the Karius episode he stood by the team untill the right time came to act on the market...

This time round the gloves were off he wont be the sacrificial lamb yet the fans, the sponsor and the owners want Klopp to deliver the 20th EPL trophy sasa unajiuliza kwa kikosi kipi...

Kama alivyosema King Ngwaba upo uwezekano hata hawa akina Salah, Mane nk hawakua chagua la kwanza la Klopp mbali aliletewa tu kwa vile wenye timu walishindwa kuwapata aliowahitaji...

Hizi injuries za VVD na Gomez zimetuonyesha how our ruthless our owners are...

Am surprised how they believe in Klopp miracles when even Klopp himself says 100% he will welcome new CB transfer with open arms...

Yajayo yanafurahisha..

YNWA
 
Kwema ndugu..

Niko nachungulia ratiba na kuitazama game zao hawa wawili kwa zaidi ..
Man City na Liverpool, tujipe muda kidogo muda wa kupambana upo na mafanikio yapo tukianza na leo...

Mwezi ujao na mwanzoni mwa March..
Tunaishi humu
View attachment 1688190View attachment 1688191
Unless this boys play every game as its last game more like a final we are good to go perhaps they might find thier shooting mojo and score goals again and again and we dont concede....

Klopp need to be realistic with his back line he should go for more experience in Nats now boy is 24 and has shown more steel and vigour than Rys...

We need lady luck man as the little chances being created are now going to waste.. Look at the corners the goals are not coming...

Long are the days when we can even gamble that any team below top 10 is free points lol we are struggling to tame this deep defending teams... Thus why its so difficult for us now.. We aint being feared again like last season.. Teams are now coming ruthless aiming for 1 points or if they lucky 3 points...

Kazi ipo Mkuu..

YNWA
 
Really sad and they have pushed the gaffer to speak his mind after frustrations with the results and almost the victims has been the defence...

Klopp rarely points fingers man.. Even during the Karius episode he stood by the team untill the right time came to act on the market...

This time round the gloves were off he wont be the sacrificial lamb yet the fans, the sponsor and the owners want Klopp to deliver the 20th EPL trophy sasa unajiuliza kwa kikosi kipi...

Kama alivyosema King Ngwaba upo uwezekano hata hawa akina Salah, Mane nk hawakua chagua la kwanza la Klopp mbali aliletewa tu kwa vile wenye timu walishindwa kuwapata aliowahitaji...

Hizi injuries za VVD na Gomez zimetuonyesha how our ruthless our owners are...

Am surprised how they believe in Klopp miracles when even Klopp himself says 100% he will welcome new CB transfer with open arms...

Yajayo yanafurahisha..

YNWA

Its now clear we have got stingy owners man
 
Klopp annual income in numbers, salary plus some of his sponsorship..

He earns almost £6.7m in sponsorship and most of this companies are in German like Opel car maker, beer company Erdinger and even two financial institutions, VR-Bank and Deutsche Vermogensberatung and also Sky Sports

Raking in a combined £22.7m inclusive salary £16m and sponsorship deals, Klopp gives generously to charity and is involved in football's 'Common Goal' initiative.

Klopp donates one per cent of his salary to worthy causes in Liverpool, Erfut (Germany) and Cape Town (South Africa).

The German Nazi is well paid..

YNWA

Man if we were to take only sponsorships earnings ,then Guardiola is no where near or levels with this German Gaffer
 
Aisee kwa Mtu anayeangalia kwa jicho LA tatu

Liverpool anafixture ngumu sana mwez wa Pili

Imagine
Anatoka kwa spurs ,then westham

Man city

Lecister city

Everton

Consecutively

Hapo uhakika na point 3 ni big NO
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom