Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Aisee kwa Mtu anayeangalia kwa jicho LA tatu

Liverpool anafixture ngumu sana mwez wa Pili

Imagine
Anatoka kwa spurs ,then westham

Man city

Lecister city

Everton

Consecutively

Hapo uhakika na point 3 ni big NO

Umesema kweli
 
Kwenye mechi zote hizo raundi ya kwanza Liverpool kwenye kila mechi alichukua point haja poteza hata mechi hapo.

Sasa uwezekano wa kufungwa unatoka wapi tena?
 
Bado siku kadhaa kupata CB ndugu na kuokoa msimu wetu....

FSG wana hali tete Barcelona soko kuu lao are almost to be declared bankrupt debt almost totalling £1bn na hapo wachezaji wao wamekumbali punguzo la salary la almost 70%...sasa ndugu kwa mwendu huu unadhani nani atamnunua huyo Salah huku Real Madrid wakijipanga kumnasa Mbappe lol labda PSG waje kwa ajili ya Mane ama huyo Salah lakini nao wapo hoi sana kipesa...

Hio policy yao ya sell to buy inaelekea kuwakamata vilivyo na wasipobadilika itakua anguko lao..

YNWA

Bartomeu ni janga ,hivi kweli Barca ya kupata deni la £1 billion na hamna cha maana kama miaka 6 inapita no UCL tittle
 
Bado siku kadhaa kupata CB ndugu na kuokoa msimu wetu....

FSG wana hali tete Barcelona soko kuu lao are almost to be declared bankrupt debt almost totalling £1bn na hapo wachezaji wao wamekumbali punguzo la salary la almost 70%...sasa ndugu kwa mwendu huu unadhani nani atamnunua huyo Salah huku Real Madrid wakijipanga kumnasa Mbappe lol labda PSG waje kwa ajili ya Mane ama huyo Salah lakini nao wapo hoi sana kipesa...

Hio policy yao ya sell to buy inaelekea kuwakamata vilivyo na wasipobadilika itakua anguko lao..

YNWA

Mshenzi Bartomeu Arturo Vidal kauza kwa £1m ,Suarez kwa 7£ m na upuuzi mwingi kumbe Club ilikuwa inazidisha deni hadi kufika 1 £billion
 
Kwenye mechi zote hizo raundi ya kwanza Liverpool kwenye kila mechi alichukua point haja poteza hata mechi hapo.

Sasa uwezekano wa kufungwa unatoka wapi tena?
Kuchukua point sijakataa nimesema Ku win

Man city vs Liverpool(1-1)

Licister city vs Liverpool (0-3)

Everton vs Liverpool (2-2)

Alichukua point 5 out of 9

Round ya kwanza hio
 
Tutapata ushindi kirahisi sana, tena yawezekana kwa magoli mengi, Liverpool huwa hatusumbuliwi na timu zinazotumia mbinu ya kushambulia.
Nimeona magoli manne kwa mawili Leo katika maombi yetu na Malafyale kiongizi wetu mkuu,

Tupo nyuma ya team, In Klop and in God we Trust
 
Klopp kachanjiwa 4 3 3 au siyo? Anyway spurs mtani wa jadi ilitakiwa mumfunge ila siyo kwa watu wale wale formation ile ile.

Hata hivyo katika betting hua mkionekana mmekua nyanya hua mna 50+ chance ya kuamka na kushangaza umati.

Kazi ni kumbana Son. Scorer mzuri, Assisstor mzuri.

Ninatamani kusikia visingizio vya Klopp pia kuanzia marefa, majani, muda wa kupumzika, VAR na penati.

Tafuteni mtu wa kubana pumbu. Arsenal tushampata.
 
Liverpool HALISI tuna mechi muhimu sana leo,tuwe nyuma ya team kama kawaida yetu!
In Klopp , we trust
 
Crisis? What crisis?

The EPL is still winnable from LFC's point of view. We're only 7 points behind the leader and the season is only half way. So many twists and turns along the way.
We just need to make sure we start winning games now but all things considered at this moment, I'll take a point tonight vs Spurs if given!
 
Klopp kachanjiwa 4 3 3 au siyo? Anyway spurs mtani wa jadi ilitakiwa mumfunge ila siyo kwa watu wale wale formation ile ile.

Hata hivyo katika betting hua mkionekana mmekua nyanya hua mna 50+ chance ya kuamka na kushangaza umati.

Kazi ni kumbana Son. Scorer mzuri, Assisstor mzuri.

Ninatamani kusikia visingizio vya Klopp pia kuanzia marefa, majani, muda wa kupumzika, VAR na penati.

Tafuteni mtu wa kubana pumbu. Arsenal tushampata.
Son hawawezi kumdhibiti, labda Kane na Ndombele ili wasimpenyezee pasi Son.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom