Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp kweli hawa jamaa amewachoka yaani anaona maneno ni mengiii vitendo ni ziroooooooooooo

Klopp said: “Most of the time in my life I didn’t get what I wanted, so pretty much used to that. We talk about a centre-half, and yes, it would help 100 percent.

“We discuss the situation pretty much on a daily basis, and I make recommendations.

But I cannot spend the money. I don’t make these decisions. There are people who are responsible for the whole thing, and I cannot make their decisions.

“When I say this, I know of course what we would do in an ideal world, but the world is not ideal. So we have to deal with the situation.”

Nina wasi wasi hii hali isipotatuliwa mapema tunaelekea yaliyomkuta Mzee Wenger na Invincibles mwaka 2004 na mpaka leo hii Arsenal hawajakaa sawa tenaa..

YNWA
 
Upepo umekata ndugu...

Hua inasemekana January na February ndio miezi mimbaya sana kwetu kimatokeo uwanjani lakini hii ya sasa imezidi ndugu mechi 5 bila majibu ni aibu ukizingatia tulikua favourite kuchukua ubingwa tena...

Mengi yamesemwa lakini bado hatuona matokeo yakiridhisha kwetu...

Cha msingi vijana waongezee bidii mazoezini ili kurudisha ukali uwanjani ni hilo tu hakuna namna maana mpaka sasa usajili ni kama haupo labda baada ya Klopp kuwanyooshea kidole FSG wata react sasa na kumsa sapoti sokoni...

Wachezaji wengi tu wanapelekwa Liverpool na mawakala wao wakitaka kuwauza ama mkopo lakini Edwards anawaambia hahitaji kusajili..

Utashangaa sasa yupo bizy kumwongezea mkataba VVD badala awe bizy na mabosi wake kuingia sokoni kupata angalau CB mmoja kusudi Fabby arejee DM yake na pengine tupate namba 9 mmoja... Jota alipata jeraha ya goti na majeraha ya goti hua yana kawaida ya kujirudia instantly yaani usije shangaa Jota akaanza tena aafu akaumia tupo kwenye wakati tough sana na wachezaji wawili VVD na Jota...

Ngoja tuone kama leo wachezaji watazidukia Old Trafford leo...

YNWA
Tuko kwenye hali ngumu sana kwa sasa
 
Tuko kwenye hali ngumu sana kwa sasa
Its sad man kumbe Klopp kila kukicha taarifa za mahitaji yake zinatua kwa wenyewe lakini sijui wanasubiri tuwe nafasi ya 7 Mei ndio wamwelewe...

Real Madrid wakija mazima ama Mgombea Uraisi yeyote Barcelona akiwa na convincing power nzuri anatua kwa Klopp mazima na walahi Klopp anatuacha khaa sio kwa shinda hizi anazitaka nani..

Mkuu hao mabosi wa team ndio wameleta yote haya.
Wanapenda jk atafute wachezaji wazuri lakini cheap ..!
Na hao huwa hawapatikani Mara nyingi.

Imagine jk angekuwa city kikosi chake ambavyo kingekuwa cha moto *****
 
Atasepa one day turudi kule kwa kina balloteli
Anatupenda lakinj itafikia time atachoka
Kama anapelega ripoti yake halafu hawatimizi unadhani anaonaje?

Kwamba hathaminiki wanamdharau au wabahili
 
Klopp kweli hawa jamaa amewachoka yaani anaona maneno ni mengiii vitendo ni ziroooooooooooo

Klopp said: “Most of the time in my life I didn’t get what I wanted, so pretty much used to that. We talk about a centre-half, and yes, it would help 100 percent.

“We discuss the situation pretty much on a daily basis, and I make recommendations.

But I cannot spend the money. I don’t make these decisions. There are people who are responsible for the whole thing, and I cannot make their decisions.

“When I say this, I know of course what we would do in an ideal world, but the world is not ideal. So we have to deal with the situation.”

Nina wasi wasi hii hali isipotatuliwa mapema tunaelekea yaliyomkuta Mzee Wenger na Invincibles mwaka 2004 na mpaka leo hii Arsenal hawajakaa sawa tenaa..

YNWA
FSG na Glazers ni pipa na mfuniko, tofauti yao ni majina tu.
 
Its sad man kumbe Klopp kila kukicha taarifa za mahitaji yake zinatua kwa wenyewe lakini sijui wanasubiri tuwe nafasi ya 7 Mei ndio wamwelewe...

Real Madrid wakija mazima ama Mgombea Uraisi yeyote Barcelona akiwa na convincing power nzuri anatua kwa Klopp mazima na walahi Klopp anatuacha khaa sio kwa shinda hizi anazitaka nani..

YNWA

Inanifanya kwasasa niamini hata hawa kina Salah, Fabinho, Jota huende hawakuwa First Choice Kwenye Targets za Klopp, huenda Klopp alipeleka Targets zake nyengine zikaonekana ni hela ndefu akaambiwa Hakuna hela ndiyo akapewa hao, ingawa wamegeuka wakawa Moto wa kuotea mbali.

Jinsi Klopp alivyojitoa kwa hii Timu mpaka akatupa mafanikio ya kubeba EPL basi ni jambo la aibu na dharau wanalomfanyia hawa FSG.

Klopp hata akisema anahama Liverpool basi mimi ninamuunga Mkono aende kwenye Timu atakayosema na kusikilizwa (Barcelona, Real Madrid, PSG na Man City).
 
Hawa FSG wamefanya mengi mazuri kuongeza uwanja capacity, kujenga uwanja wa mazoezi unaiunganisha junior teams na Senior team sehemu moja nk hii ni BIG up kwa kweli lakini jambo moja muhimu sana ni kwamba biashara kuu kwao ni Team A hii ndio inazalisha pesa za kufanya yote haya zinatokana na mikatabata ya TV, performance ya kila hatua UCL na makombe tutakayoshinda.. Timu ikiwa inafanya vyema inaongeza fan base na pia makampuni makubwa wanainyemelea kupata mikataba kwa mfano Nike walivyokuja mazima..

Tusidanganyane kabisa kwamba ule mkwaja wa Nike ungetua endapo tungekua hukoo nafasi ya 7..

Winning comes with lots of goodies mpaka kwa wachezaji bonus na pia kwa Klopp na jopo lake la walimu..

Mashabiki nao hununua jezi kwa wingi maana kunakua kuna ile feel good feelings to all the those associated na hii Klabu...

FSG wasijedanganye kuwavutia hao wachezaji kama Mbappe bila kushiriki Champions hii itaturudisha nyuma hukoo kwa kima Downings nk

Uwekezaji timely ni muhimu sana kwa kujenga continuity ya matokeo uwanjani na Klopp anawaambia hivyo hii lipo kwao..

Yale yote mazuri wamefanya bila kumsapoti Meneja yanaonekana bure kabisaa...

Mathematically tupo nafasi ya 7 EPL kama hili halijawaamsha kufanya jambo sasa basi tuna wamiliki mijeuri ajabu...

Kama wanasubiri kumuuza Mane ama Salah £100m aafu wai invest kwa kununua wachezaji wa bei chee with potential nako watakwama kwani soko la Wachezaji covid imeliharibu sana..

Barcelona na Real Madrid ambapo ndio soko letu kuu kuuza wapo hoi kipesa hivyo sioni hii falsa yao ya sell 1st buy later ikiwaokoa sasa..

YNWA
 
Anatupenda lakinj itafikia time atachoka
Kama anapelega ripoti yake halafu hawatimizi unadhani anaonaje?

Kwamba hathaminiki wanamdharau au wabahili
Kumdharau hapana mbali hawa jamaa hua wanafuata set up yao iliyowapa mafanikio Redsox hivyo wakaja kuikopi na ku paste kwa Liverpool...

Ndio hawa hawa walitaka pia EPL zipunguzwe timu zibakie 18 na ndio hao hao wanataka kuanzisha Uefa mpya.. Wana mishe mishe nyingi sana hawa mabeberu lengo lao sio tu kui influence EPL mbali Europe yote kwa staili yao ya uwezakezaji na mapato...

Unavyokua na mmiliki muumin wa auze ndio anunue ujue lipo tatizo kubwa kwani kuna wakati inafaa wajitoe mhanga kwa ajili ya timu aidha wakope ela wachezaji waje kama ndio silaha kuu tubaki na ubingwa wetu..

Wenyewe ukiwauliza wanasema ishu ni kwamba mishahara inalipwa hivyo bila mashabiki wanabaki na ela ndogo sana sasa..

Arsenal wameona isiwe taabu wamechukua mkopo wa muda mfupi kuweka mambo yao sawa, nashangaa na wao wanasubiri nini na bado siku kadhaa tu dirisha lifungwe...

Ukweli tuna hali mbaya bila VVD nyuma na bila Fabby Dm yaani hatupo tena na intensity ama instincts zenye kuleta madhara kwa timu pinzani tena..

YNWA
 
Mkuu hao mabosi wa team ndio wameleta yote haya.
Wanapenda jk atafute wachezaji wazuri lakini cheap ..!
Na hao huwa hawapatikani Mara nyingi.

Imagine jk angekuwa city kikosi chake ambavyo kingekuwa cha moto *****
Uzuri Klopp sio Kocha wa mdomo ki vilee yaani mpaka unaona anasema haya ni kwa vile anaona system uwanjani imeingiliwa hakua na plan msimu huu eti Fabby awe markshift CB yaani hii ni pigo kubwa sana kwake... Tupo dirisha la usajili na badala wamemsapoti wao wako busy huko America kuuza hisa za klabu kwa £450m na bado dili halijapitishwa pending approval sasa unajiuliza hao wanaonunua hizo hisa wakasubiri mpaka Mei 2021 tuwe nafasi ya 7 je watatoa ela tena...

Ukiwa na Top manager kama Klopp unavutia wachezaji wazuri kuja kwenye Klabu lakini pia wanakuja kushinda makombe na sio vingine hapa kikosi kingesukwa kwa awamu kwa vile most team A guys are approaching 29th years and above hivyo balance ya replacement gradually ingetake off slowly but sure..

We need a miracle to defeat Manchester United leo...

YNWA
 
Jones nae amekaa nafasi ya mane. Si bora angemuweka minamino. Anyway Yeye a najua zaidi.
Milner na GINI... Mido Itakuwa nzito kweli.
William na fabi sio shida Sana.... I believe dogo yuko vzr.
Anorld aamke Leo... Salah ashuke kumsadia kukaba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom