Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

LIVERPOOL TEAM NEWS vs Manchester United

Team to play Man Utd: Alisson, Alexander-Arnold, Robertson, R. Williams, Fabinho, Thiago, Wijnaldum, Milner, Jones, Salah, Firmino.

Subs: Kelleher, Mane, Oxlade-Chamberlain, Minamino, Tsimikas, Shaqiri, Origi, Phillips, N. Williams.

YNWA
 
Come on gents destroy the Stretford boys..

YNWA
 
1st goal. Salah
1611509807080.gif
 
Hivi kuna shabiki wa Livakuku alie naimani kua timu yake itashinda leo?
 
Hawa FSG kutokana na sera zao za Fedha walikuwa wafate mfumo wa Bayern München tu ingawa kwa uwengereza ni ngumu sana kuimplement.

Bayern ana wachezaji wazuri lakini hata siku moja huwezi kusikia amesaini wachezaji wa bei kubwa.

Anachofanya yeye ni kuvizia wachezaji waliomaliza mikataba akawachukua bure kama kina Goretzka.
Anavizia wachezaji wanaokaribia kumaliza mikataba na kuwasaini kwa bei ya chini kama kina Lewa.
Anajiokotea wachezaji wadogo wenye vipaji kwa njia za Hadaa kama alizotumia kumtoa Serge Gnabry Arsenal kupitia Timu nyengine.
Kuchukua wachezaji wazuri kwa mikopo kama alivyofanya kwa Coutinho, Douglas Costa n.k.

Hizo ndiyo njia wanazotumia Bayern kujipatia Wachezaji bila ya gharama kubwa.

Hivyo na hawa FSG kama wanaona shida kutoa hela basi wangetumia njia kama za Bayern tu kupata wachezaji.
 
Mwaka huu mpaka mjinyee na kujikojolea mganga mliyekuwa mnamtegemea keshakufa kazi mnayo Next match vs Spurs mkishinda ntakunya kuanzia Ubungo hadi posta
 
Yaani mmeanzisha kikosi kinene na bado mnafanywa hivi? Fanyeni kupindua meza nyie
Hawa jamaa kuna kitu hakiko sawa. Beki mbovu, kiungo hakieleweki, Thiago ni kama hajui katumwa kufanya nini!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom