Gpili
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,179
- 2,084
Nahisi ameanzishwa sababu ya game za FABinafsi nimefurah xhaqir kuanza.. acha watu washike adabu maana wanaona wenyewe wa muhimu
Kama sikosei Salah na Firmino wameanzia benchi sababu weekend kuna FAGood decision kwa Klopp,If you don't perform ni kukaa Benchi muda wa kucheka na Nyani umeisha na haya maamuzi Klopp alichelewa kufanya.
Trent mara zote huwa anacheza vizuri sana akipanda ishu yake ni kwamba sio mzuri kulinda tukishambuliwa upande wakeAnorld he needs to step up his Game
Kama sikosei Salah na Firmino wameanzia benchi sababu weekend kuna FA
Hiko kikosi ndio kikosi cha ushindi sasa kwa sasaAiseee kwa kikosi hiko hamchomoki
Salah out
Boby out
Hendo out
Keita out
Another draw guy.Hiko kikosi ndio kikosi cha ushindi sasa kwa sasa

Ipi mechi yenyewe umuhimu wa kushinda kati ya hii ya Burnley na Manchester United ya FA Cup.Wacha wajidanganye tu! Wanadhani Klopp anaweza kuwaweka Benchi Salah, Bobby na Hendo kwasababu ya Origi na OX.
Mechi ya lig n muhimu zaid ya FA.Ipi mechi yenyewe umuhimu wa kushinda kati ya hii ya Burnley na Manchester United ya FA Cup.

Anayefahamu msaada tafadhaliApp ya live game wakuu mbali na burma tv
Hahahahahahahahah kwa sababu Kipenzi chako SALAH Yupo Benchi Mkuu.Tokea nianze kupenda mpira sijawahi kumuomba Mungu kwenye mpira kwani siamini Sala wala Maombi kwenye mpira bali naamini uwezo wa Timu lakini leo najisikia kutaka huruma ya Mungu.