Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sijui kama umeelewa point yetu.
Sio kosa langu ni kosa la mwalim.
Ninacho jua humu mjengoni kwenu kuna makundi mawili, HALISI pamoja Pep.

Nilicho elewa mimi kwenye ile comment yako nikua unataka kuhusisha mambo ya makundi kwenye mjengo wetu.

Ikiwa nimetombesha maneno zimia kwenye gia.
 
nikiwa kama mshereheshaji wa liverpool halisi kwa siku ya leo naomba nikujibu ifuatavyo:

captain hendo ni tunu ya liverpool akiwa popote (ndani na nje ya uwanja), hivyo basi kitendo chake cha kujitolea (sisi tunaamini hendo ana uwezo wa kugomea hiyo position na isiwe kesi kwa klopp) kucheza nafasi ya beki ni cha kuthaminiwa na kujadiliwa zaidi na wapenda maendeleo ya liverpool kuliko hao wengineo uliowataja (fabinho na gini).

hao wengine (fabinho na gini) hata kama wataendelea kuchezeshwa nje ya maeneo yao yaliozoeleka hatutoweza kusikia wasifu wao uliojaa utiifu kutoka kwa washirika wetu wakubwa kama vile pundits wa kiengereza na vyombo vyao vya habari, bali tendo hilo litachukuliwa kama njia moja ya kutimiza wajibu wao wakiwa kama waajiriwa wa hapo anfield.
=================

Hivi post yako nimeielewa kiasi ya kwamba sitaki kukujibu wala kukuuliza chochote.
Imejitosheleza.
 
Bora Leo salah apumzike na firminho. Hope origi ataumia nafasi vzri.
Nimefurahi Matip karudi ingawa najua next game atakuwa hospital tena
Screenshot_20210121-221010.jpg
 
Good decision kwa Klopp,If you don't perform ni kukaa Benchi muda wa kucheka na Nyani umeisha na haya maamuzi Klopp alichelewa kufanya.
 
Sio kosa langu ni kosa la mwalim.
Ninacho jua humu mjengoni kwenu kuna makundi mawili, HALISI pamoja Pep.

Nilicho elewa mimi kwenye ile comment yako nikua unataka kuhusisha mambo ya makundi kwenye mjengo wetu.

Ikiwa nimetombesha maneno zimia kwenye gia.

Okay, point yetu ilikuwa aina ya ukosoaji linapokuja swala la kutofautiana maoni.

Kuhusu makundi: unaweza kutaja members unaowajua ambao wako kwenye kundi la HALISI wasiopungua 3?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom