Najua hapo kwenye akili yako jina la DIOGO JOTA Linakujia sana.Aisee, Origi asirudi halftime.
Hua sina tabia ya kuuliza watu kama maziko ni hapa hapa au inasafirihswa kwahiyo sina cha kuweka akiba.Unang'ata na kupuliza ?
au
unaweka akiba ya maneno?
Wewe punga unambwembweAcha uchizi wako, lala mapema..
Sema mkuu Bora orig anaonekana hata kwenye hayo matukio, hata ontarget anapiga zinaonekana tofauti na yule bwana wa kibrazili .Aisee, Origi asirudi halftime.
As usual we struggle with deep lying teams...
We said Salah and Firmino are tired and in came Origi and Ox... So far same old same old... Hope the end will justify us crucifying our serial front guys...
YNWA
App ya live game wakuu mbali na burma tv
Sema mkuu Bora orig anaonekana hata kwenye hayo matukio, hata ontarget anapiga zinaonekana tofauti na yule bwana wa kibrazili .
App ya live game wakuu mbali na burma tv
Yule jamaa kwani bado tunazungumzia?
Yule kashaisha mazima, ila Origi hili goli alilokosa enzi zile wale Gamblers wa Colombia hawamwachi.









Najua hapo kwenye akili yako jina la DIOGO JOTA Linakujia sana.
AhahaYule jamaa kwani bado tunazungumzia?
Yule kashaisha mazima, ila Origi hili goli alilokosa enzi zile wale Gamblers wa Colombia hawamwachi.
Ahaha
Ila simlaumu sana Orig mkuu , yale magoli ya mtu na kipa naona fundi kabisa huwa ni Messi wengine huwa maji kupwaa.
Haahahaaa, pole sana Mkuu ila tunaheshimu maandishi na maelekezo yako.Jamaa una roho mbaya, yaani umenicrop nisionekane!
Hivi ndo inatakiwa sio kila siku Salah mpaka ajione yeye ndo Liver yenyewe. hata akiingia hapo unakua na morariHii game tukishinda Matusi watakayomiminiwa Salah na Firmino sio ya Nchi hii.
Miongoni mwa kauli zitakazoibuka ni:-
- Asipocheza Salah tunashinda => As If leo ni ya kwanza kushinda.
- Tumeshinda kwasababu Bobby na Salah hawakucheza.
Tusiposhinda hawa waliopongeza leo watabadili gia angani na kusema kinyume chake