Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
TAA ni wa moto leo kwenye kushambulia, ila anamwacha jamaa huku kwenye defense panaleta hatari.
Okay, point yetu ilikuwa aina ya ukosoaji linapokuja swala la kutofautiana maoni.
Kuhusu makundi: unaweza kutaja members unaowajua ambao wako kwenye kundi la HALISI wasiopungua 3?
Hahaha the best CB in the world alikua anajiita ajabu uwanjani alikua chagua la tatu...Yani kuanzia siku ile ya lile goli nilimchukia Lovren kuliko Shetani, kiufupi sitaki hata kumsikia yule mpumbavu.
Ushindi leo n 30%Naona dalili Ya 0-0 tena Leo


Unang'ata na kupuliza ?Kikosi chenu kimeanza kureflect maneni yetu ya tangu mwaka juzi ya wanga wa mpira.
Anyway, siyo gemu ngumu kwenu hata hivyo.
Tunashinda hii game Mkuu Relax.Naona dalili Ya 0-0 tena Leo
Kajinga kamekosa goli haka!
Aisee, Origi asirudi halftime.
Mbona mulisha shinda asubuhi mpaka jioni, ukizingatia hii ni usiku.Tunashinda hii game Mkuu Relax.
Origi bwana