choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,289
- 4,087
Tuombe Mungu Jota arudi mapema walau tumalize top 4 , next seazon Klopp alete walau mtu mmoja mbele. Hii foward ya Mane Salah na Firmino haiwezi kutupa kombe lolote msimu huu
big up kwa Allison huyu mtu tulichelewa sana kuwa nae
Thiago maestro, anaingia uvunguni
big up kwa Allison huyu mtu tulichelewa sana kuwa nae
Thiago maestro, anaingia uvunguni
