Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot_20210116_230349.jpg

20th EPL loading 👍👍👍👍💯💯💯💪💪💪💪Come on Red Army make us dream BIG again...

YNWA
 
Imagine Keita na OX wangebaki na kasi waliokuja nayo then nyuma yao kuna Fabinho Yani Mtu kama mimi hata nisingejipa ubize wa kutazama mechi za Liverpool kazi yangu ingekuwa moja tu ni kukamata PEPSI mkononi nikauliza tu tumemla Mtu ngapi?

KEITA - OXLADE

FABINHO
Keita tangu aje Liver hajawahi kuwa na kasi yoyote, ni average tuu kama average wengine, hana mechi yoyote tuliyohitaji ushindi kwa hali na mali akastep up.
 
Matip inabidi hata sindano achomwe acheze tuu leo kisha arudi wodini kwakwe alipokuzoea, Shak ahusike kwenye hii mechi, ushindi utakua 100%
 
Mr liverpool mbona mnaonngea kama vile huwa mnatufungaga kila misimu kama saba sasa match ninazokumbuka mlizotufunga kwenye pl ukitoa hizi mbili zilizopita ni match moja tu mmetufunga yani kwenye match 14 mmetufunga 3 tu

Mechi ni leo Mkuu, hii nayo utaiongeza kwenye records ya ulizofungwa.
 
Alex Ferguson:

"Manchester United against Liverpool is the game of the season. I had to build a club not just a team to surpass them. Thank goodness I've retired, because when I see Liverpool’s performances over the last two seasons - phenomenal!”
 
Watu wasiichukulie poa hii gemu wadau ,kupigwa kupo na uwezekano ni mkubwa sana

Wakianzishwa Greenwood na Cavani nyuma yao yuko Bruno kimasihara masihara yanaweza kutokea ya kutokea

Ila Henderson asianzishwe yule
 
Mind game ndugu..

Niliona mechi yao dhidi ya Citizens na kiukweli walikamatika no spark anywhere to unsettle Pep boys sasa hivi lazima awajenge kisaikolojia vijana wake ili wasije poteana...

Asikwambie mtu ndugu Anfield tangu atue Klopp panatisha EPL yaaani kuchomoza na pointi inabidi pinzani wajipange...

YNWA
Leo ndio tunakuja kuuvunja huo mwiko, "sijui mutapikia nini?"
 
MANE - BOBBY - SALAH

Lazima wawe kwenye Best form leo ili tuweze kushinda hii North West Derby. Otherwise sioni zaidi ya kupoteza au kutoa sare.
Sare? Mbona kitambaa kidogo hiki!
Leo ni kichapo tu
Kuku anachinjwa na shereh inafanyika.
 
Leo ndio ile siku nataka kulichinja kuku langu (sijui kama jogoo ama mkoo/ mtembe?)

Baada kulifuga kwa muda mrefu leo nimeona ni bora nilichinje, maana majirani washaanza kulitolea macho.
 
Watu wasiichukulie poa hii gemu wadau ,kupigwa kupo na uwezekano ni mkubwa sana

Wakianzishwa Greenwood na Cavani nyuma yao yuko Bruno kimasihara masihara yanaweza kutokea ya kutokea

Ila Henderson asianzishwe yule
Mkuu Masamila kweli Henderson awe mzima kabisa Klopp asimpange kweli inawezekana..

Ngoja tuone naona kikosi kitakua hivi

Allison

TAA Matip Fabinho Robertson

Gini Henderson Thiago

Salah Firmino Mane

Kuwavuruga Manchester United kimepangwa hivi..

Alisson

TAA Matip Fabinho Robertson

Jones Thiago Gini

Salah Mane Takumi...

Hapo inakua imebalance especially upande wa TAA msimu huu kuna shinda tunavyoshambuliwa hivyo Jones ana fresh legs angesaidia zaidi defensive duties.....

YNWA
 
Leo lazima mtu ashushwe tuu maana hakuna namna mtoto alali na hela mfukoni
 
Leo ndio ile siku nataka kulichinja kuku langu (sijui kama jogoo ama mkoo/ mtembe?)

Baada kulifuga kwa muda mrefu leo nimeona ni bora nilichinje, maana majirani washaanza kulitolea macho.
Utachezewa uko kudogo hauta sahau
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom