Samwel Jr
JF-Expert Member
- May 9, 2020
- 1,362
- 960
.Kwahiyo wewe unajua sisi ndo tutafungwa cyo ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜Kuifunga manchester united hiyo ni ngumu.
Jitahidini musitoke nje ya top 4.
Huo ni U...........
.Kwahiyo wewe unajua sisi ndo tutafungwa cyo ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜Kuifunga manchester united hiyo ni ngumu.
Jitahidini musitoke nje ya top 4.
Yupo sahihi 100% Correct Kabisa.Ole anasema "This is the best time to play against Liverpool"
Ole anasema "This is the best time to play against Liverpool"
Ndo tumefikia sehemu tunadharaulika hivi!
Siyo powa kabisa.
Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.
Man u ya Alex Ferguson ilifika mwisho
Madrid ya Zidane UEFA 3 ilifika mwisho
Nyie ni nani msifike mwisho Kenge nyie?
Tofauti ni kwamba wamekuwa na maisha mafupi ya kuenjoy kama maisha ya funza.Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.
Man u ya Alex Ferguson ilifika mwisho
Madrid ya Zidane UEFA 3 ilifika mwisho
Nyie ni nani msifike mwisho Kenge nyie?
Couldn't say otherwise...Ole anasema "This is the best time to play against Liverpool"
Mind game ndugu..Ndo tumefikia sehemu tunadharaulika hivi!
Siyo powa kabisa.
. Kwamba naogopa nini sasa
Tofauti ni kwamba wamekuwa na maisha mafupi ya kuenjoy kama maisha ya funza.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mr liverpool mbona mnaonngea kama vile huwa mnatufungaga kila misimu kama saba sasa match ninazokumbuka mlizotufunga kwenye pl ukitoa hizi mbili zilizopita ni match moja tu mmetufunga yani kwenye match 14 mmetufunga 3 tuNdo tumefikia sehemu tunadharaulika hivi!
Siyo powa kabisa.