Tatizo mfumo yaan watu washaidecode code ya klopp so inabid aje na mfumo mzur wa kutafuta magoli maana huu wa sasa wa kuwategemea kina trent umeshashtukiwaBoby, hendo, Gini, Ox , Keita
Naona wakatafute tu changamoto tu mahala pengine kwa sasa .
Tuna hitaji AM na ST bila kusahau CB moja matata.
Jota ni replacement nzuri ya mane na salaha.
Hawa liverpool walikuwa na nafasi nzuri zaid ya kushinda lakini wamekubali kulazimishwa draw na timu kama manureNyie chelsea mkiwa wapi wakati huo? Halaf unawafokea liverpool. Uliwafunga ww?



Hahahaha kwa sasa liverpool na Chelsea hatuchekani








Boby, hendo, Gini, Ox , Keita
Naona wakatafute tu changamoto tu mahala pengine kwa sasa .
Tuna hitaji AM na ST bila kusahau CB moja matata.
Jota ni replacement nzuri ya mane na salaha.
Yes,Karibuni OT..Mkuu Darmian tukutane Jumapili FA Old Trafford maana leo hakuna mmbabe...
YNWA
We nae ka falaLiverpool HALISI haina haja ya kupanic,team itaimarika zaidi mwezi huu.Matip anarudi kwa hiyo Hendo anapanda juu na Jota karibia kurudi!
Tuzidi kuwa karibu na team,hamna faida yyt kutukana team,tuachie kazi hiyo Liverpool feki!
In trust we believe
Hiyo cow si malafyale inataka tusifie tuThen tunapoelezea performance ya Timu na Wachezaji basi itatokea Ng'ombe itasema tunawatukana Wachezaji.