hahaaaaWw unajua soka kuliko Klopp kuliko Southgate?
Watz hovyo sana,tunajua kila kitu
Kwanini FA wanatupeleka away tena na manure nyumbani tena wakati hapa ilitakiwa na sisi tucheze home na manure naye aonje radha ya ugeniniNilihisi tutapewa man u
Nahisi tutawafunga mechi moja na wao watatufunga moja..
Tutawafunga ligi
Wao watatufunga Fa..
Nimehisi hivyo

Nilihisi tutapewa man u
Nahisi tutawafunga mechi moja na wao watatufunga moja..
Tutawafunga ligi
Wao watatufunga Fa..
Nimehisi hivyo
We nawe ka fala
Nawewe embu punguza mambo ya kibibi bibi,Liverpool HALISI bado siku 5 mechi yetu muhimu na Man U
Tuendelee kuwa karibu na team,tuwaache Liverpool feki waendelee kutukana team
Klopp atarekebisha mambo,tuta anza kushinda
Nawewe embu punguza mambo ya kibibi bibi,
Poa,Nipe tako ntapunguza!
Mhhh. Kakuongopea nani?Nilihisi tutapewa man u
Nahisi tutawafunga mechi moja na wao watatufunga moja..
Tutawafunga ligi
Wao watatufunga Fa..
Nimehisi hivyo
Hivi hicho kikundi cha liverpool halisi mpo wangapi?Liverpool HALISI tusiwe na wasiwasi,Klopp yupo atarekebisha haya mapungufu,waache hawa NDEZI waendelee kutukana team sisi tuendeleze mshikamano