Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

433, inam-limit sana, because some players hawafit kabisa kwenye hiyo formation, especially Shaqiri.

Leo, alivyoingia Shaqiri, tuli-switch kwenda 4231, and ilitusaidia sana, unlike dhidi ya Southampton, tulibaki na 433 hata Shaqiri alivyoingia ndiyo hakuwa na impact sana, but naona Klopp decided to go full 4231 kwasababu aliona ni dhidi ya Kids, ile counter ya goal lao nadhani uliona jinsi Rhys alivyokuwa slow, so 4231 against good & pacey attackers ni suicide, sijui atakuja na formation gani against Utd, but isiwe 433, na 4141 inaweza ikawa nzuri zaidi.

But, kama tunataka kushinda, we need to change the system & players.
Man Rhys aint up to speed i guess this the secomd time he has been overrun...

Pace wise Rys na Nats ni wazito.. We cant expect them we hold high line then tuwe na amani they will shut the door..

Have seen on different times wakiwa overrun... On that item i miss Gomez he was rarely overrun.. But they are still adjusting playing in the highest level y EPL hivyo it's a learning curve for them to increase thier timely runs...

Cant picture Rys having a go vs Rashford man he will see dust..

Klopp has a full week without any new injury scare to prepare for Manchester United game.. 4 3 3 might not be the one for us..

Shaqir and Thiago are definitely classic combo jana though vs Villa kids we did see glimpse of what we should expect from this 2 kids...

Mane playing centrally was bold move by Klopp great headed goals though...

Hendo has come back to his worst times.. He now spraying useless passes right and left lol.. He should take a leaf from Thiago..

Milner wow he was superb... This Muzee started playing professionally when he was 16yrs and now he is 36yrs... That 20yrs playing at the highest level.. Salute our babu.. He has looked after his body at the best way possible..

Super sub sasa ni Shaqir finding those tight space for last passes will be key..

Off we go to the next round..

YNWA
 
Hawa jamaa tuliwawekea under 23 wakaibugiza goli 5 bila, mtaani tukawa tunajitetea ooh, wale walikuwa watoto.

Mara kina VVD wakala 7 (wakubwa). Kwa hisani ya Adrian.

Sasa wao wametuwekea watoto, tulitakiwa kurudisha zote 12 kwa pamoja.
Hahaha its easy on paper than on action..

We got the result the Liverpool way...

Best goal ni Gini...

YNWA
 
Just, change the MF structure, and we will be fine..

Buy a good and fit CB, partner him with Faby (we're struggling to buy 1 CB so sidhani kama tutaweza ku-afford 2)..

Jota, should be back soon.

The try and play Keita alongside Thiago kila akiwa fit kwaajili ya creativity.
Man have lost any hope on Keita...

He can't stay fit for two consecutive games and that really a killer...

Edwards should have a busy June we need to clear the dead woods in Hendo, Ox nk and create space for new comers...

If we are to challenge even the mickey trophies we need a proper balance..

YNWA
 
Aisee, ila madogo walitukazia first half.

Aisee, beki ya tar 17 unadhani kocha ana options zipi?
Backline will be

TAA Matip Fabby Robo

MF will be

Gini Hendo Thiago

Front line will be

Salah Firmino Mane..

That Klopp kama Klopp tunaemjua..

MF though could have gone with Gini Thiago Jones.. Advantage ya Jones he can hold the ball to lool for proper pass and even attempt take ons.. Hendo haha we need luck on that day if he do start he is becoming a lame duck again and at very high speed.

YNWA
 
Klopp kaamua kupanga first XI ya kwenye ligi kwenye trophies anazoziita mickey mouse hii inatakiwa ikumaanishie kwamba kwenye ligi hakuna utelezi tena so yupo tayari kusettle na hizo mickey mouse trophies.
 
Duh, utani munakimbilia kung'ata.
Yani kwa vitoto vile vya Aston Villa, sikutegemea kama munge wapangia mkoko ule.
 
1st goal. Mane
1610180754879.gif
 
Moja ya sababu ya hii first XI ni hatuna game yoyote mpaka Jan 17. Na pia nikutokana na recent poor results lakini sidhani kama Klopp yupo that interested na hizi mickey mouse cups not yet
Klopp kaamua kupanga first XI ya kwenye ligi kwenye trophies anazoziita mickey mouse hii inatakiwa ikumaanishie kwamba kwenye ligi hakuna utelezi tena so yupo tayari kusettle na hizo mickey mouse trophies.
 
Moja ya sababu ya hii first XI ni hatuna game yoyote mpaka Jan 17. Na pia nikutokana na recent poor results lakini sidhani kama Klopp yupo that interested na hizi mickey mouse cups not yet
Hahaha sawa
 
Kadri siku zinavyoenda, majeruhi yametuonesha tena kwamba Hendo ni famba.
We need to evolve, Klopp needs to evolve..

We can excuse the attacking area, but our MF needs big changes, Klopp ame-carry MF yetu na ku-protect kwa muda mrefu sana kwa kutumia orthodox 433, but its time nae a-evolve, i know he wants kuwa na sustained developments, and kuipata hii ni lazma kuwe na maamuzi magumu sana.
 
Man Rhys aint up to speed i guess this the secomd time he has been overrun...

Pace wise Rys na Nats ni wazito.. We cant expect them we hold high line then tuwe na amani they will shut the door..

Have seen on different times wakiwa overrun... On that item i miss Gomez he was rarely overrun.. But they are still adjusting playing in the highest level y EPL hivyo it's a learning curve for them to increase thier timely runs...

Cant picture Rys having a go vs Rashford man he will see dust..

Klopp has a full week without any new injury scare to prepare for Manchester United game.. 4 3 3 might not be the one for us..

Shaqir and Thiago are definitely classic combo jana though vs Villa kids we did see glimpse of what we should expect from this 2 kids...

Mane playing centrally was bold move by Klopp great headed goals though...

Hendo has come back to his worst times.. He now spraying useless passes right and left lol.. He should take a leaf from Thiago..

Milner wow he was superb... This Muzee started playing professionally when he was 16yrs and now he is 36yrs... That 20yrs playing at the highest level.. Salute our babu.. He has looked after his body at the best way possible..

Super sub sasa ni Shaqir finding those tight space for last passes will be key..

Off we go to the next round..

YNWA
Rhys & Natt are slow and still learning the game, Fabinho is slow too but anatumia experience yake ku-read the game perfectly, so ana-cover uslow wake na his great ability ya ku-read opponents movement.

Rhys ana potential kubwa sana, but bado ana vitu vingi sana vya kujifunza, and atakuwa mzuri zaidi akicheza kwenye team ambayo inakaba/defend from deep, siyo kwenye high line kama LFC, but i think Klopp can coach him, and ningependa awe our 4th choice next season (VVD, Gomez, New CB and Rhys, i'd move Matip on)..

Thiago is everything we need kwenye our MF right know (tempo setter, defensive duties, creativy duties)..i think Klopp will use him as 6 this whole season, ni good things but LFC fans wangepata kitu tofauti sana kama angekuwa anacheza na Faby kwenye MF, maana angekuwa na free role kubwa sana as a DLP, but for now he will sit as a 6, in a Klopp's 433 (1-2 shape, yeye Deep (1) and either of Hendo/Gini/Keita/Ox/Jones as 2 LCM & RCM.

Shaqiri, in a 4231 one, ni dream, came on and provided two assists in quick succession, it was just so easy to open up Aston Villa defending set up with his movement and an eye for a line breaking pass. i want to see him against Utd, remember last time when we played Utd at Anfield in a 4231, Shaqiri scored 2 goals.
 
Acheni kuisema timu, sisi Liverpool HALISI tuna uchungu na hii timu zaidi yenu, nyinyi Liverpool Maslahi (Liverpool Pep) mnatuharibia timu.

Mmeisema sana mpaka timu haipati matokeo mazuri.

Sisi ngoja tuendelee KUSHIKAMANA.

Siku ya Villa na Soton Liverpool HALISI mulituangusha hamukushikamana ili tushinde.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom