Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tuache porojo
Magoli ya Salah,Mne na Wilj kipindi cha pili ni ya uwezo binafsi,hakuna chichote Thiago au Shaq wamefanya kuyatengeneza!
Capt Hendo katolewa kwa precaution tu sio kama kacheza vibaya
Villa angekufa tu hata wao walijua ni matter of time tu
Liverpool HALISI tuendelee kuwa pamoja na team
 
Klopp need to use the full squad and not the same lineup every game it's not working.

Big Shaq need to start.
433, inam-limit sana, because some players hawafit kabisa kwenye hiyo formation, especially Shaqiri.

Leo, alivyoingia Shaqiri, tuli-switch kwenda 4231, and ilitusaidia sana, unlike dhidi ya Southampton, tulibaki na 433 hata Shaqiri alivyoingia ndiyo hakuwa na impact sana, but naona Klopp decided to go full 4231 kwasababu aliona ni dhidi ya Kids, ile counter ya goal lao nadhani uliona jinsi Rhys alivyokuwa slow, so 4231 against good & pacey attackers ni suicide, sijui atakuja na formation gani against Utd, but isiwe 433, na 4141 inaweza ikawa nzuri zaidi.

But, kama tunataka kushinda, we need to change the system & players.
 
Adjustments.jpg
 
Tuache porojo
Magoli ya Salah,Mne na Wilj kipindi cha pili ni ya uwezo binafsi,hakuna chichote Thiago au Shaq wamefanya kuyatengeneza!
Capt Hendo katolewa kwa precaution tu sio kama kacheza vibaya
Villa angekufa tu hata wao walijua ni matter of time tu
Liverpool HALISI tuendelee kuwa pamoja na team
We nawe ka fala
 
Nadhani Ni mda wa Klop kuwapa Mechi nyingi Hawa wachezaji wake Shaqiri Ox_Chambarlin Thiago Keita Minamino Fabinho
Kuna tofauti kubwa Sana Kati yao na kina Salah Firmino na Mane
Ubunifu kujituma kunaanza kuhitajika Sasa cyo uzoefu Tena
LCF 4LIFE
#YNWA
 
433, inam-limit sana, because some players hawafit kabisa kwenye hiyo formation, especially Shaqiri.

Leo, alivyoingia Shaqiri, tuli-switch kwenda 4231, and ilitusaidia sana, unlike dhidi ya Southampton, tulibaki na 433 hata Shaqiri alivyoingia ndiyo hakuwa na impact sana, but naona Klopp decided to go full 4231 kwasababu aliona ni dhidi ya Kids, ile counter ya goal lao nadhani uliona jinsi Rhys alivyokuwa slow, so 4231 against good & pacey attackers ni suicide, sijui atakuja na formation gani against Utd, but isiwe 433, na 4141 inaweza ikawa nzuri zaidi.

But, kama tunataka kushinda, we need to change the system & players.
Mkuu manure pale Anfield anakufa tu kwa formation yoyote ile
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom