Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wenye wivu mkae mkijua Manchester United anaenda kuongoza ligi leo.
 
Hata Everton na spurs walishaongoza ligi ni jambo la kawaida msimu huu wala halitutishi
Evaton sijui Spurs, hao sio wa kuwalinganisha na Manchester United.

Evaton & Spurs ni madogo janja, wakati Man United ni mtu na ndevu zake.

Manchester United akiongoza ligi, basi jua hiyo ni mpaka mwisho wa show.
 
Narudia tena, "mpaka mwezi wa pili mutakua mushafika kwenye nafasi yenu ya tatu".

Ligi hii tuna maliza msimamo ukiwa hivi :

Manchester United

Evaton

Liverpool

Chelsea
 
Acha kulialia nyau bro.
Kufungwa nyinyi ni lazima, hiyo haina ubishi.
Paul Tierney ndo refa
Hawajawahi wapa Liverpool penalty
Kawapa Man u penalty 5 katika mechi 10
Liverpool mechi 13 kakataa penalty za wazi..

Tushafungwa hii mechi
 
Nilichogundua hii timu ina kanuksi flani ka kutokuhimili presha tunapokua tunaongoza ligi, labda itokea wanaotufukuza wawe mbali kabisaa ila huwa tukiwa tunakaribiana karibiana halafu sisi tuwe juu tunaanguka kiajabu ajabu, Klopp afanye jambo msimu huu afute hii gundu

2014 Tuliongoza vizuri tuu shida City akawa anashinda shinda nyuma yetu tukatetemeka kombe likapepea
2009 same story
2019 ndo sitaki hata kukumbuka namna tulishindwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom