King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,370
Mkuu manure pale Anfield anakufa tu kwa formation yoyote ile
Hujawahi kujilet down! 😅😅
Hunakawaida ya kujitabiria Hata Draw wewe sikuzote ni ushindi tu.
Mkuu manure pale Anfield anakufa tu kwa formation yoyote ile
I think we will try to sell Keita in the summer..Man have lost any hope on Keita...
He can't stay fit for two consecutive games and that really a killer...
Edwards should have a busy June we need to clear the dead woods in Hendo, Ox nk and create space for new comers...
If we are to challenge even the mickey trophies we need a proper balance..
YNWA
This boy Rys na Billy the boy are highly rated by Klopp seems he has a bigger plan for both of them...Rhys & Natt are slow and still learning the game, Fabinho is slow too but anatumia experience yake ku-read the game perfectly, so ana-cover uslow wake na his great ability ya ku-read opponents movement.
Rhys ana potential kubwa sana, but bado ana vitu vingi sana vya kujifunza, and atakuwa mzuri zaidi akicheza kwenye team ambayo inakaba/defend from deep, siyo kwenye high line kama LFC, but i think Klopp can coach him, and ningependa awe our 4th choice next season (VVD, Gomez, New CB and Rhys, i'd move Matip on)..
Thiago is everything we need kwenye our MF right know (tempo setter, defensive duties, creativy duties)..i think Klopp will use him as 6 this whole season, ni good things but LFC fans wangepata kitu tofauti sana kama angekuwa anacheza na Faby kwenye MF, maana angekuwa na free role kubwa sana as a DLP, but for now he will sit as a 6, in a Klopp's 433 (1-2 shape, yeye Deep (1) and either of Hendo/Gini/Keita/Ox/Jones as 2 LCM & RCM.
Shaqiri, in a 4231 one, ni dream, came on and provided two assists in quick succession, it was just so easy to open up Aston Villa defending set up with his movement and an eye for a line breaking pass. i want to see him against Utd, remember last time when we played Utd at Anfield in a 4231, Shaqiri scored 2 goals.
Man we waited for ages to get Keita on board and Klopp must have been the most affected one as he intended to build his team around this boy.. His talent are unquestionable...I think we will try to sell Keita in the summer..
but at the moment, we need him kwaajili ya his creativity genes, so play him kila akiwa fit, most of our good performances this season zote Naby alikuwepo uwanjani, he is so good and talented but his body just cant stay fit.
Hendo hapa kati alisifiwa mno na ma pundits sasa anaharibu...See the difference below..
Thiago Vs Aston Villa, plays a no look pass to Shaqiri between 2 Aston Villa players, Shaqiri went on to assist Salah for the 4th goal.
Henderson Vs Fulham, he had Minamino on his sight (Minamino was asking for the ball), but Hendo chose to hoof the ball to the stands, he could've played minamino in, ambaye alikuwa in good position to run in to the box, akiwa na option ya ku-shoot au kutoa pass, but the Captain decided to hoof it, huwa nawaambia watu kila siku we should be so thankful na kina Salah & Mane, scoring 20+ goals every season huku wakicheza na bums kama hawa ni kitu kikubwa sana.View attachment 1672712View attachment 1672713




Hii timu ishafikia mwishoni bado sasa manyumbu..Duh, utani munakimbilia kung'ata.
Yani kwa vitoto vile vya Aston Villa, sikutegemea kama munge wapangia mkoko ule.
Acha kujitetea, klopp ashaona giza kwenye ligi.Moja ya sababu ya hii first XI ni hatuna game yoyote mpaka Jan 17. Na pia nikutokana na recent poor results lakini sidhani kama Klopp yupo that interested na hizi mickey mouse cups not yet
Acha kujitetea, klopp ashaona giza kwenye ligi.
Unajua kuwa kikosi kinajulikana lisaa limoja kabla ya mechi.Timu uliyocheza nayo jana mwenye umri mkubwa kabisa ana miaka 21 tu na mwenye umri mdogo kabisa ana miaka 16..
Sasa tuje kwa mazee ya liverpool
Mane zee..
Salah zee..
Shaqir zee..
Hendo zee..
....... na kadhalika na kadhalika
Ushindi wa jana bado haujaondoa kipigo cha goli za mlizobamizwa.
Looserfools against under 23 AstonVilla
Aibu hii...
liverpooloffside.sbnation.com
Michel Oliver is gentleman admitting he made a mistake of this magnitude is quite a gentleman act...
Hii everton sio timu ya kutisha
Hii everton sio timu ya kutisha
Walibebwa tu
Sis city tutawapiga gori za kutosha tu
Waleteee