Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 8,069
- 20,330
Hawa Soton huwa tunawafunga, sema haiwagi easly win, ukiangalia fom yetu na vile Soton wana watu mbele kule Walcot na Ings wa kutuletea hatari, itakua mechi ngumu inayopaswa kutumia chance zinazopatikana.
FT
southampton 2 Liverpool 3
Mkuu unazungumzia soton ya kina virgil na mane.hii ya sasa tunajipigia tu.

