King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,370
Tofauti ni kwamba Klopp anatumia indirect method sio direct kama kina mourinho mfano zile blunder za Karius tulijua kabisa klopp lazima amfurushe tuu, na akamfurusha indirect tofauti ingekua Mou angebwatuka
Tafuta wanaomfahamu Klopp kama MosDef wakusomeshe kuhusu Tabia za Klopp! Klopp Hajawahi kutumia Mdomo kwenye Media katika maamuzi yake iwe Direct au Indirect.
Nakumbuka kwenye Sakata la Coutinho kauli ya mwisho alimwambia Coutinho mwenyewe na wala hakukimbilia kwenye Media. "Bakia Liverpool utakuwa Legend na utajengewa Sanamu la Heshima, Lakini nje ya Liverpool hutakuwa Chochote".
Key Point: Klopp hajibizani na Mchezaji kwenye Media iwe Direct au Indirect.

