Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Lakini iwapo Thiago atakuwa Mzima na Keita atakuwa Mzima basi Mwenye Uhakika wa kucheza kwenye Mido kwa 100% Fabinho peke yake.

Thiago, Keita, Hendo, Jones, OX wote watacompete namba.
Jones is one for the future huyu hana noma wala nini...

At his age he knows miaka miwili 2 atakua yupo pazuri so kwa sasa he can enjoy the minutes as they come...

No wonder Klopp was aiming EPL warudishe sub 5 per game ili hawa vijana wote angalau wapate some minutes...

Management ya Thiago should be top class... Uzuri class is class just like we watch Shaqir not playing 15 games in a season but when he do gets the minutes when fit his contribution inakua immense...

Ox, Shaqir and Keita should be okay playing second fiddle to Gini, Thiago, Hendo, maana wao kuumia nje nje damn hope they can shake off that scary trend..

If Fabby shift back to his preferred role the hapo sioni Gini akichomoka...

Thiago should be given 60 minutes zinamtosha sana huyu.. EPL kwa viatu ndio penyewe...

YNWA
 
Utd wana kikosi kizuri sana..

They can challenge kama OGS will play his cards right.

kama Utd wata-hold on kwa OGS kwa muda mrefu kidogo, atawapa trophies.

ni slow-paced coach, but ana-assemble team nzuri sana (taratibu).
True have been watching closely Manchester United even when they not on song unaona kabisa vijana wanajitahidi... They are now reclaiming that lost identity under Mourinho... He want them to play the United way and man they are coming along gradually...

Ole is the shot they have to glory...

Up and downs willl be there but hi ideas will bring them trophies soon...

Supporting him in the market to buy proper players will be the key...

YNWA
 
Jones is one for the future huyu hana noma wala nini...

At his age he knows miaka miwili 2 atakua yupo pazuri so kwa sasa he can enjoy the minutes as they come...

No wonder Klopp was aiming EPL warudishe sub 5 per game ili hawa vijana wote angalau wapate some minutes...

Management ya Thiago should be top class... Uzuri class is class just like we watch Shaqir not playing 15 games in a season but when he do gets the minutes when fit his contribution inakua immense...

Ox, Shaqir and Keita should be okay playing second fiddle to Gini, Thiago, Hendo, maana wao kuumia nje nje damn hope they can shake off that scary trend..

If Fabby shift back to his preferred role the hapo sioni Gini akichomoka...

Thiago should be given 60 minutes zinamtosha sana huyu.. EPL kwa viatu ndio penyewe...

YNWA
Shaqili anapigwa misumli sio bure jamaa akicheza mexhi tatu mdululuzo anatia shaka namba za watu.
Jamaa kila mechi alopangwa amefanya vyema sanaaa

Kuna watu wanamsifia Chambalin kuliko Shaqil.jamaa anapambania team kama Mane ila nso hivyotena.

Kama ni misumali Namlaani anae mpiga apate tim itakayo mlipa vizuri ahame
 
Adjustments.jpg
 
Watu wanamponda Gerrard kwasababu tu yupo Farmers League, Wakumbuke pia Mourinho naye alitokea Farmers League moja kwa moja kuja England na kubeba ubingwa.

Guardiola hakuwahi kuwa Kocha wa Ligi kuu yoyote ile lakini aliibuka na kubeba Makombe.

Zidane the same.

Rodgers sio kocha mbaya kihivyo watu wanavyotaka kuamini.

Mimi naamini Gerrard atakuja kuwa ni miongoni mwa Makocha wazuri sana na atafanikiwa ndani ya Liverpool hasa kutokana na attacking football yake.
Ila yote yatawezekana iwapo tu yatafanyika haya:-

  • Asihusishe uscourser wake na ukocha hivyo ajikite zaidi kwenye Vipaji vya wachezaji na si asili zao (kuwapa vipaumbele Waingereza).
  • Matajiri wamuwezeshe financially ili aingie sokoni na kusajili wachezaji anaowataka.
 
Leo Manure nampa asilimia 85% za kushinda game yake dhidi ya Lesta kutokana na rekodi yake nzuri % ya kushinda ugenini kwenye EPL.

But iwapo atatoa sare tu na sisi kesho tukashinda basi itakuwa vizuri sana.
Kaka Leicester usi wa under estimate Sana ...coz wanajua wanacheza na tough na very determined opponent hivyo lazima wacheze vizuri.....though man u hawezi kubaki top 3 ....kuna team za kukaa top 3 mzee...kushinda man u goli sita sio kigezo cha kumfunga Leicester kirahisi rahisi...kumbuka Leicester mpira wa kasi wanaweza vilevile.
 
Top 3 ni kina nani watabaki?

Sisi ni the 2nd best PL side kwa mwaka huu wa 2020..usituchukulie poa,japo we are not there

20 pl away unbeaten run..alooo acha utani
 
Shaqili anapigwa misumli sio bure jamaa akicheza mexhi tatu mdululuzo anatia shaka namba za watu.
Jamaa kila mechi alopangwa amefanya vyema sanaaa

Kuna watu wanamsifia Chambalin kuliko Shaqil.jamaa anapambania team kama Mane ila nso hivyotena.

Kama ni misumali Namlaani anae mpiga apate tim itakayo mlipa vizuri ahame
Hahaha sio Mkuu dogo toka alikotoka alikua na ishu za injuries za hivi...

Kwa sasa umri unasogea...

Liverpool inacheza with high intensity, winning ball high field na kuanza mashambulizi nk that demands super work rate...

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom