Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,852
TehTop 3 ni kina nani watabaki?
Sisi ni the 2nd best PL side kwa mwaka huu wa 2020..usituchukulie poa,japo we are not there
20 pl away unbeaten run..alooo acha utani

Kamwambiaje ?Klop kamjibu kibabe Mo Salah, navomjua Klop anakuuma huku anakupuliza
amesema liverpool ni moja wapo ya timu kubwa duniani, wanalipa vizuri, wanafa base bora kabisa, rangi nzuri, uwanja mzuri, akasema sababu pekee ya kumfanya mchezaji ahame liverpool labda hali ya hewa.Kamwambiaje ?
Kaka Leicester usi wa under estimate Sana ...coz wanajua wanacheza na tough na very determined opponent hivyo lazima wacheze vizuri.....though man u hawezi kubaki top 3 ....kuna team za kukaa top 3 mzee...kushinda man u goli sita sio kigezo cha kumfunga Leicester kirahisi rahisi...kumbuka Leicester mpira wa kasi wanaweza vilevile.
amesema liverpool ni moja wapo ya timu kubwa duniani, wanalipa vizuri, wanafa base bora kabisa, rangi nzuri, uwanja mzuri, akasema sababu pekee ya kumfanya mchezaji ahame liverpool labda hali ya hewa.
akatiririka tena kuwa mtu akitaka kuondoka hawawezi mlazimisha kubaki
akamalizia na ile ishu ya u captain, akasema kwa walivyojiwekea wao wale makapteni wanne wakikosekana wote basi atayevaa kitambaa ni yule mwenye longest career, hivyo kwa ile mechi anasema aliyestahili kuvaa ni Divock Origi, hivo kumpa TAA alikosea
Leo Manure nampa asilimia 85% za kushinda game yake dhidi ya Lesta kutokana na rekodi yake nzuri 💯% ya kushinda ugenini kwenye EPL.
But iwapo atatoa sare tu na sisi kesho tukashinda basi itakuwa vizuri sana.
Mpaka hiyo tar 17 January wanapokuja Machinjioni Anfield Manchester United tutakuwa na tofauti si chini ya point 10 kati yao na sisi,Na ndio siku ambayo tutawazika wazima kwenye Title Race tutapigilia msumali wa mwisho kwenye Jeneza.
Kijana mimi naweza kukuajiri
Ninakiwanda cha kutengeneza misumari
Nimaajiri zaidi ya vijana 1000
Tusichukuliane kirahisi rahisi huku kwenye keyboard ya jf
Tofauti ni kwamba Klopp anatumia indirect method sio direct kama kina mourinho mfano zile blunder za Karius tulijua kabisa klopp lazima amfurushe tuu, na akamfurusha indirect tofauti ingekua Mou angebwatukaHayo maneno hajamjibu Salah bali kuwajibu Wandishi wanaovumisha kuwa MO hana furaha ndani ya Liverpool.
Mkuu usimfananishe Klopp na Mourinho kupigana vijembe na Wachezaji.
Hata siku moja Klopp hawezi kukaa akajibizana na Mtoto mdogo kama Salah.
Klopp hakuwahi kujibizana na Coutinho na Emre Can walioondoka kwa kulazimisha aje ajibizane na Salah? Serious?
Kocha Wetu ni mtu mwenye nidhamu ya hali ya juu kiasi ya Kwamba hajibizani hata na Makocha wenzake kina Guardiola na Mourinho pale wanapomchokoza aje ajibizane na Salah?
Hebu rejea mechi yetu na Spurs Kabla Mourinho alibwatuka sana na kutaja kikosi chetu kumpiga vijembe Klopp eti asilielie na injuries, na Baada ya Mchezo alibwatuka tena kubwa Timu bora (Spurs) Ndiyo imepoteza mchezo! Lakini Klopp hakujibizana nae.
Hivyo Klopp hana kawaida kujibizana na mchezaji wake usimvishe sifa aliyokuwa hana! He's best manager inside and outside the pitch.
Niendelee tu kumuonea huruma Arsenal
Kwakweli hali yake ni mbaya! Naikumbuka hali yetu ya 2014/2015 ulivyokuwa na maumivu tuliyokuwa tukiyapata.
amesema liverpool ni moja wapo ya timu kubwa duniani, wanalipa vizuri, wanafa base bora kabisa, rangi nzuri, uwanja mzuri, akasema sababu pekee ya kumfanya mchezaji ahame liverpool labda hali ya hewa.
akatiririka tena kuwa mtu akitaka kuondoka hawawezi mlazimisha kubaki
akamalizia na ile ishu ya u captain, akasema kwa walivyojiwekea wao wale makapteni wanne wakikosekana wote basi atayevaa kitambaa ni yule mwenye longest career, hivyo kwa ile mechi anasema aliyestahili kuvaa ni Divock Origi, hivo kumpa TAA alikosea

noma Sana

Maneno kuntu yanahusu team kwa ujumla.yatasaidia wachezaji wasitikise kiberiti.amesema liverpool ni moja wapo ya timu kubwa duniani, wanalipa vizuri, wanafa base bora kabisa, rangi nzuri, uwanja mzuri, akasema sababu pekee ya kumfanya mchezaji ahame liverpool labda hali ya hewa.
akatiririka tena kuwa mtu akitaka kuondoka hawawezi mlazimisha kubaki
akamalizia na ile ishu ya u captain, akasema kwa walivyojiwekea wao wale makapteni wanne wakikosekana wote basi atayevaa kitambaa ni yule mwenye longest career, hivyo kwa ile mechi anasema aliyestahili kuvaa ni Divock Origi, hivo kumpa TAA alikosea
Excellent man....Hayo maneno hajamjibu Salah bali kuwajibu Wandishi wanaovumisha kuwa MO hana furaha ndani ya Liverpool.
Mkuu usimfananishe Klopp na Mourinho kupigana vijembe na Wachezaji.
Hata siku moja Klopp hawezi kukaa akajibizana na Mtoto mdogo kama Salah.
Klopp hakuwahi kujibizana na Coutinho na Emre Can walioondoka kwa kulazimisha aje ajibizane na Salah? Serious?
Kocha Wetu ni mtu mwenye nidhamu ya hali ya juu kiasi ya Kwamba hajibizani hata na Makocha wenzake kina Guardiola na Mourinho pale wanapomchokoza aje ajibizane na Salah?
Hebu rejea mechi yetu na Spurs Kabla Mourinho alibwatuka sana na kutaja kikosi chetu kumpiga vijembe Klopp eti asilielie na injuries, na Baada ya Mchezo alibwatuka tena kubwa Timu bora (Spurs) Ndiyo imepoteza mchezo! Lakini Klopp hakujibizana nae.
Hivyo Klopp hana kawaida kujibizana na mchezaji wake usimvishe sifa aliyokuwa hana! He's best manager inside and outside the pitch.
Mpaka DullyJr na Aaron Arsenal wameacha kutua humu kwa kweli hali yao sio powa kabisa...Niendelee tu kumuonea huruma Arsenal