Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

amesema liverpool ni moja wapo ya timu kubwa duniani, wanalipa vizuri, wanafa base bora kabisa, rangi nzuri, uwanja mzuri, akasema sababu pekee ya kumfanya mchezaji ahame liverpool labda hali ya hewa.

akatiririka tena kuwa mtu akitaka kuondoka hawawezi mlazimisha kubaki

akamalizia na ile ishu ya u captain, akasema kwa walivyojiwekea wao wale makapteni wanne wakikosekana wote basi atayevaa kitambaa ni yule mwenye longest career, hivyo kwa ile mechi anasema aliyestahili kuvaa ni Divock Origi, hivo kumpa TAA alikosea
Kweli kibabe. Kamkata maini kabisa aliposema origi ndo alitakiwa avaeklopp mhuni kweli
 
Hakuna timu iliyochukia EPL Ikiwa imefungwa mechi 5.
Mpk Sasa mechi ya 15
Liverpool lost only 1...have a chance
Man City lost 2.....still have a chance
Man u lost 3..... 20%hope remaining as bado hajaja anfield hajaenda eti had na Jose hawajafika
Chelsea lost 4....they are out
Leicester lost 5 tayari... They are out kabisa.... May be top 4
Tottenham lost 3..... Naona kama washapotea.
Arsenal.... Out and Out
Everton lost 4 already so myneiba nae hana pumzi kabisa.
Kwahiyo hili GAME NI LA CITY N Liverpool tena. City akitepeta by January basi watu ache tu tusepe nalo kama last season
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom